Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

MKuu unafikiri ni nini kimefanya wanawake wa sasa wabadilike?
Nafikiri malezi, Kuna sehemu kama Wazazi tumelega kwenye malezi ya mabinti zetu.

Zamani mabinti walikuwa waoga kuanzisha mahusiano kabla ya Ndoa, Siku hizi imekuwa ni kinyume chake.

Mwanamke anapoanza mahusiano ya kingono kabla ya Ndoa, hadi aje apate Mume atakuwa ametembea na Wanaume zaidi ya 20.

Mwanamke wa hivyo kuja kutulia huwa ni nadra sana, maana Kuna vitu atakuwa anavikosa Kwa aliyemuoa ila Kuna X wake alishawahi kumpatia

That's a terrible πŸ™Œ
 
U
Ulishawahi kuona Tajiri ambaye hana Mke?
 
Vipi kasumba ya vijana kukubali kushusha standards zetu? Nyie vijana wa zamani kuna vigezo vya muhimu sana mliviangalia mfano bikira, past ya mwanamke n.k. sasa hivi ukimwambia kijana kuhusu hayo mambo atakuja na utetezi wa ajabu wa past doesn't matter na blah blah kibao. Haouni kama hii inaweza kuwa sababu ya wanwake kufanya ngono kiholela holela wakijua hata baada ya kumalizana na uchafu wote wataolewa tu.?
 
Vijana wanakaza shingo, utasema sisi Baba zao tuliwalea bila Mama zao
Kuna mambo ambayo inatakiwa tuvumiliane kidogo. Unajua ni sawa mmetutangulia lakini haoindoi ukweli kwamba na nyie kuna maeneo mlikosea, sasa pale tunapohoji masuala ya msingi ni vyema mkatupa majibu yenye afya na yanalingana na uhalisia wa maisha mtaani kuliko kututaka tuwafuate tu blindly just because mmetutangulia. Things changes, hatuwezi kuishi na fikra zile zile milele.
 
Natumaini sijachelewa πŸ˜ƒ
Tafiti zinaonesha, wanaume waliooa wanatengeneza pesa nyingi kuliko wasiooa.
Na waliooa wenye watoto wengi wanatengeneza pesa nyingi kuliko waliooa bila watoto.
Key hapa ni waliooa
Kwa ambao hawajaoa lakini wana watoto mbali mbali..Iwe kwa mama tofauti au mama mmoja, hawana tofauti na kiwango cha yule ambaye hajaoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…