Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
- #201
Huduma zifanywe na house girl alipwe mke?Nani sasa halipwi?
Wewe unadhani humlipi mkeo kwa huduma anazokufanyia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huduma zifanywe na house girl alipwe mke?Nani sasa halipwi?
Wewe unadhani humlipi mkeo kwa huduma anazokufanyia?
Sijakataza kuoa mkuu.Mkuu angalia tu usije pata mhaho sababu wanaume wa sasa wabishi mno, wataoa tu hata wakiwa wanakatwa vichwa saa ya ngono kama mdudu vunja chungu.
View attachment 3133692
Ok mkuu.Sijakataza kuoa mkuu.
Mada za Generation Z hizi. Nyie Shangazi zetu mkae mbali kabisa= delusional
JF tunajazana sana ujinga.
Uneducated fools from uneducated schools.
Nafikiri malezi, Kuna sehemu kama Wazazi tumelega kwenye malezi ya mabinti zetu.MKuu unafikiri ni nini kimefanya wanawake wa sasa wabadilike?
Ulishawahi kuona Tajiri ambaye hana Mke?Kuna delusional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo nakufungulia code kwamba umedanganywa.
Vijana wengi mmejazwa uongo vichwani mwenu kwa kuaminishwa kwamba mafanikio yenu yatapatikana kwenye ndoa. Sikiliza kijana, kabla ya kuoa ndio muda unaotakiwa kufungua milango ya mafanikio yako, huo ndio muda wa kufurahia maisha na uhuru wako kwa sababu ukioa hautapata iyo nafasi.
Kuoa ni kujivalisha minyororo ya utumwa, na katika kutimiza utumwa huo ipasavyo jamii na mamlaka za kiserikali zitakua macho kuakikisha hautoki nje ya mstari. Jaribio lolote la kujitoa kwenye utumwa huo matokeo yake ni jela au kufilisika.
Ndoa haimuongezei mwanaume chochote chenye thamani, tofauti na mwanamke ambae kwake ndoa ni ajira ya kudumu, ni mradi wa kibiashara na njia rahisi ya kuwa entitled kwenye mali za mwanaume bila kuchangia chochote kifedha au kitaaluma.
Takwimu zinaonesha 92% ya wanawake mabilionea wamepata utajiri wao kupitia talaka. Waliolewa na wanaume matajiri, wakadai talaka, wakapata mgao wa mali.
Hakuna mwanamke anaekuja kwenye maisha yako na solutions za changamoto zako au kukuwezesha kuyapata hayo mafanikio unayoambiwa utayapata ndoani. Siku zote mwanamke anakuja kwenye maisha yako ili wewe umpe suluhisho la matatizo yake na umfanyie kazi ili yeye aweze kuishi maisha rahisi kadiri iwezekanavyo.
Mwanamke hatafuti mpenzi, anatafuta mtumwa. Anataka mtumwa atakae gharamia lifestyle yake, atakaelipa bills zake na kusuluhisha matatizo yake yote hapa duniani.
Huyu mtumwa anapata nini in return? nothing beneficial, ni hasara, maangaiko, maumivu na majuto tu, kwa sababu huyu mwanamke hana chochote chenye thamani cha kuleta mezani. Mwanaume kataa kuwa mtumwa.
Mafanikio ya mwanaume ni mchakato wa nidhamu, jitihada, vikwazo na muda, sio ndoa. Mwanamke utakaemuoa hatokupa hela ya mtaji wa biashara au connection ya kazi nzuri zaidi ya uliyonayo, isipokua atakuongezea stress na gharama za maisha tu.
Vijana wanakaza shingo, utasema sisi Baba zao tuliwalea bila Mama zaoOngeza sauti babu upande wa huku hawajaskia
Mmh, nadhani kuna changamoto kubwa ya kuelewana hapa.Huduma zifanywe na house girl alipwe mke?
Vipi kasumba ya vijana kukubali kushusha standards zetu? Nyie vijana wa zamani kuna vigezo vya muhimu sana mliviangalia mfano bikira, past ya mwanamke n.k. sasa hivi ukimwambia kijana kuhusu hayo mambo atakuja na utetezi wa ajabu wa past doesn't matter na blah blah kibao. Haouni kama hii inaweza kuwa sababu ya wanwake kufanya ngono kiholela holela wakijua hata baada ya kumalizana na uchafu wote wataolewa tu.?Nafikiri malezi, Kuna sehemu kama Wazazi tumelega kwenye malezi ya mabinti zetu.
Zamani mabinti walikuwa waoga kuanzisha mahusiano kabla ya Ndoa, Siku hizi imekuwa ni kinyume chake.
Mwanamke anapoanza mahusiano ya kingono kabla ya Ndoa, hadi aje apate Mume atakuwa ametembea na Wanaume zaidi ya 20.
Mwanamke wa hivyo kuja kutulia huwa ni nadra sana, maana Kuna vitu atakuwa anavikosa Kwa aliyemuoa ila Kuna X wake alishawahi kumpatia
That's a terrible 🙌
Unataka kusemajeU
Ulishawahi kuona Tajiri ambaye hana Mke?
Kuna mambo ambayo inatakiwa tuvumiliane kidogo. Unajua ni sawa mmetutangulia lakini haoindoi ukweli kwamba na nyie kuna maeneo mlikosea, sasa pale tunapohoji masuala ya msingi ni vyema mkatupa majibu yenye afya na yanalingana na uhalisia wa maisha mtaani kuliko kututaka tuwafuate tu blindly just because mmetutangulia. Things changes, hatuwezi kuishi na fikra zile zile milele.Vijana wanakaza shingo, utasema sisi Baba zao tuliwalea bila Mama zao
Natumaini sijachelewa 😃Kuna delusional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo nakufungulia code kwamba umedanganywa.
Vijana wengi mmejazwa uongo vichwani mwenu kwa kuaminishwa kwamba mafanikio yenu yatapatikana kwenye ndoa. Sikiliza kijana, kabla ya kuoa ndio muda unaotakiwa kufungua milango ya mafanikio yako, huo ndio muda wa kufurahia maisha na uhuru wako kwa sababu ukioa hautapata iyo nafasi.
Kuoa ni kujivalisha minyororo ya utumwa, na katika kutimiza utumwa huo ipasavyo jamii na mamlaka za kiserikali zitakua macho kuakikisha hautoki nje ya mstari. Jaribio lolote la kujitoa kwenye utumwa huo matokeo yake ni jela au kufilisika.
Ndoa haimuongezei mwanaume chochote chenye thamani, tofauti na mwanamke ambae kwake ndoa ni ajira ya kudumu, ni mradi wa kibiashara na njia rahisi ya kuwa entitled kwenye mali za mwanaume bila kuchangia chochote kifedha au kitaaluma.
Takwimu zinaonesha 92% ya wanawake mabilionea wamepata utajiri wao kupitia talaka. Waliolewa na wanaume matajiri, wakadai talaka, wakapata mgao wa mali.
Hakuna mwanamke anaekuja kwenye maisha yako na solutions za changamoto zako au kukuwezesha kuyapata hayo mafanikio unayoambiwa utayapata ndoani. Siku zote mwanamke anakuja kwenye maisha yako ili wewe umpe suluhisho la matatizo yake na umfanyie kazi ili yeye aweze kuishi maisha rahisi kadiri iwezekanavyo.
Mwanamke hatafuti mpenzi, anatafuta mtumwa. Anataka mtumwa atakae gharamia lifestyle yake, atakaelipa bills zake na kusuluhisha matatizo yake yote hapa duniani.
Huyu mtumwa anapata nini in return? nothing beneficial, ni hasara, maangaiko, maumivu na majuto tu, kwa sababu huyu mwanamke hana chochote chenye thamani cha kuleta mezani. Mwanaume kataa kuwa mtumwa.
Mafanikio ya mwanaume ni mchakato wa nidhamu, jitihada, vikwazo na muda, sio ndoa. Mwanamke utakaemuoa hatokupa hela ya mtaji wa biashara au connection ya kazi nzuri zaidi ya uliyonayo, isipokua atakuongezea stress na gharama za maisha tu.
Au nadanganya mkuu?Siku zote mwanamke anakuja kwenye maisha yako ili wewe umpe suluhisho la matatizo yake na umfanyie kazi ili yeye aweze kuishi maisha rahisi kadiri iwezekanavyo.🤔
Mfano katika huu uzi unafikiri ni sehemu gani inafundisha kuchukia wanawake?Jf inafundisha vijana kuwachukia wanawake