Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Vijana wanafikiri u-simp ndio u-gentleman au u-real man
 
Nje ya mada kdg.

Ivi Mali walizomilikishwa watoto huwa zinahusika kwenye mgawo kama ikitokea wanandoa kutoelewana na mambo yao yakafika mahakamani.
Hazihusiki ila kama watoto hawajafika umri wa mtu mzima izo mali zinakua chini ya uangalizi wa mama yao.

Kwa mwanaume sio salama sana kuandikisha mali majina ya watoto maana watoto na mama yao lao moja halafu si unajja kuna suala la kubambikiwa watoto unalea unarithisha mali kumbe sio mabao yako
 
Hii sasa kama ni msumari wazazi waliyupati kwenye utosi maumivu yake mpk tunakufa
 
Us Ushauri wako tumuandike nani🤣
 
Sawa mkuu,hapo bado ni shida tu.
 
Akikujibu huyo au mwanamke mwingine yeyote yule, hata kama ni Jadda, nitag.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…