Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Ila haimanishii ma single boy hawako vizuri?
Kila mtu abaki na anacho amini.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kujishusha (ikizingatiwa mm ni msukuma ss wasukuma tuna hulka ya ubabe)
Aisee wewe mjomba yangu kabisa... Nakushauri hao achana nao Wana maudhi sana, na kwa jinsi navyowafahamu wajomba zangu hampendi dharau na ujuaji mwingi kutoka kwa mwanamke mtagawana nae majengo.

Hili uweze kuishi nao bila kelele itabidi ujifanye Falla sana, yaani ukubaliane na vitu vingi sana hata vile vya kuutweza uanaume wako kitu ambacho nyie wajomba zangu hamuwezi.
 
Ni delusional na sio delutional kama ulivoandika, shida yako una approach ndoa kama business partnership hapo ndo unapofeli. Mwanaume unatakiwa ujipange kuendesha maisha yako na familia yako bila kumtegemea mke wako. Mke anakuja kwenye ndoa kwa ajili ya mambo ya ndoa sio kukuongezea kipato.
 
Tatizo mnaweka thamani kwa mali anayoongeza, haina uwiano sawa. Alimzalia watoto na bwana Mengi alipata tulizo la roho kutoka kwa mmachame wake.
Kwani nyie wanawake huwa hamuweki thamani kwenye Mali?... Shubamit Tena nyie ndio mko too obsessed na Mali za mwanaume... kwanini waga hamuolewi na makapuku kama hamzipi kipaumbele Mali za mwanaume?? Wewe unafikiri mzee mengi angekuwa kama mzee Mpili yaani Hana hela Wala status yoyote ya maana yule Jackline Angeweza hata kukaa nae meza Moja wakaongea, achilia mbali kuoana nae??

Na pia unavyosema eti alimzalia watoto, kwanini hao watoto ni wa Mengi peke yake?? Kwanin huwa mnaona mkizaa na sisi ni kama mnatufanyia hisani?
 
Hapana, sio kweli. Post #239 nimeelezea vizuri. Hii ya kuonekana yupo juu ni kutokujiamini kwa mwanamme
Haaa wapi wewe nae unaonekana ukoo too detached na reality sijui ni kutokujua

Dhamira kuu ya feminism hasa hii ya Sasa third wave feminism ni kumnyong'onyeza kabisa mwanaume kwa kutumia sheria Kali wakati huo ikisimika female supremacy... Hii ni ajenda Pana sana ambayo yaonekana huna uelewa nayo.

Hizo kauli zenu za kwamba sijui wanaume hatujiamini ni kauli nyepesi ambazo hazina mkia wa kichwa....
 
Hii comment umeandika madini kuliko zile zingine zote.

Ni kweli suala la kuoa Bado linawezekana kutegemeana na vipaumbele vyako na pia umakini wa Hali ya juu mno unahitajika.
 
Ataachwa bila kupewa chochote
Kwanin aachwe bila kutoa chochote?

Kwanin na yeye mwanamke asifirisiwe na Mali zake kupewa mwanaume Kama ambavyo wanaume huwa wanafirisiwa na kisha Mali zao kupewa wake zao pale wanapobainika wamechepuka???

Yaani kwamba mwanaume akichepuka adhabu yake ni kunyang'anywa nusu ya Mali zake na kupewa mkewe, ila mwanamke yeye akichepuka adhabu yake ni kuachwa tu bila kutoa kitu chochote??

Halafu bado Kuna mtu anabishs ndoa sio utapeli???
 
Wewe nae bwana Sasa ndio swali gani hili??

Haya hapa Tanzania mna Diamond Plutnamuz huko Marekani yupo Floyd Mayweather
Ktk watu 65M unatoa mfano mtu mmoja tu? USA watu 320M unatoa mfano wa mtu mmoja tu? It is pointless
 
Kama hawataki kuoa ujue tu wanajianda kuolewa.

Tumeona wale walio enda kwa Pididi walianza hivi hivi.
 
Kwamba hiyo "delusional theory " ungeandika kwa kiswahili usingeeleweka au unataka ukiandika kwa kiingereza ndo tukuone umesoma sana tukubaliane nawe?
Pumbav
 
Ktk watu 65M unatoa mfano mtu mmoja tu? USA watu 320M unatoa mfano wa mtu mmoja tu? It is pointless
Wewe nyau kweli... Halafu ndio mnajiona eti ndio wanaume mnaojielewa na akili zenu nyepesi hizi kama nyoya la mkia wa njiwa??

Wakati unauliza hili swali ulikuwa una maanisha nini? Au ujibiwe vipi?

"Ulishaona tajiri Hana mke?"
 
Huwezi kulala njaa hasa ukiwa na mtoto ama watoto
 
Hii tabia ya wanawake kujipachika kwa mwanaume ambae amesha-set streams za maokoto halafu baadae wanataka kuwa entitled kwenye mafanikio ya mwanaume uyo ni utapeli tu.
Halafu unakuta huyo Mwanamke anajigamba "yaani bila uwepo wangu kusimama kidete hizi biashara zote zingekuwa zimeshakufa, nimezikuta kwenye Hali mbaya sana kwanza alikuwa anataka kuzifunga"... Hapo anawaanda watu kisaikolojia siku ndoa ikifa aonekane na yeye ana mchango kwenye biashara hizo na hivyo iwe ni Haki yake kupata mgao, aisee kama Kuna mwanaume ambaye Bado hajashtukia Hawa matapeli nampa pole
 
Vijana wanafikiri u-simp ndio u-gentleman au u-real man
Kuna wanaume leo hii wanafikiri eti kuwa mpole na mnyenyekevu kwa mke wako wakati huo ukiprovide ndio njia ya busara Zaid kuishi nae....

Na Hawa wote wanaosemaga humu sijui ishi nae kwa akili ukichunguza ndio huwa wanaishi hivyo na wake zao... Yaani wamekuwa makondoo.
 
Mm ni msomi Ila nimeanza kuona wasomi wa kike ni wa shenzi kiakili
Hao wasomi wa kike acha waishi wenyewe huku wakifanya kazi kama watumwa Yes, educated modern woman is a slave in our capitalistic world.

Maana hawataki kuwa watumwa kwa waume zao, hivyo acha wawe watumwa wa maboss zao.
 
Kazi ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…