Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Hili nalo neno....vijana chakateni mbususu
 
Ni delusional na sio delutional kama ulivoandika.
Ni typing error tu mkuu, bahati mbaya kuedit title hapa jf haiwezekani
kImsingi hiki ndicho nilichomaanisha. Fungua kwanza milango ya mafaniko ndio uoe sio uoe halafu utegemee ndoa itakufungulia milango ea mafanikio.
 
Na pia unavyosema eti alimzalia watoto, kwanini hao watoto ni wa Mengi peke yake?? Kwanin huwa mnaona mkizaa na sisi ni kama mnatufanyia hisani?
halafu sasa hao watoto wenyewe wanawaandaa kisaikolojia tangu wakiwa watoto kabisa wawapende wao kuliko baba zao. Ndio maana watoto wakiwa wakubwa huwa wanam-prefer zaidi mama.

Wanawake ni mabingwa wa kupanga mikakati ya ushindi huku wakiwa wana-play victim role.
 
Kwamba hiyo "delusional theory " ungeandika kwa kiswahili usingeeleweka au unataka ukiandika kwa kiingereza ndo tukuone umesoma sana tukubaliane nawe?
Pumbav
Kiswahili kina misiamiti michache, maneno kama delusion, password n.k kuyajua kwa neno moja la kiswahili mpaka ukapekua kwenye kamusi

kuhusu typing error hapa jf kuedit title haiwezekani.

Anyway, hatupo kwenye darasa la lugha, tujikite zaidi kwenye dhima ya mada.
 
Vijana wamepumbazwa na ulimwengu wa ufeminia, wanacheza ngoma ya wanawake mbaya zaidi ngoma iyo inapigwa na wanawake wasiokua na maadili, makahaba, malaya wastaafu na wenye past chafu.

Kila mdundo vijana wakiwekewa na hawa wanawake wanaucheza tu. Wakiambiwa bikira sio ishu wanakata viuno, kuoa single mother sio ishu wanamwaga mauno tu, past doesn't matter, kukubali kulea mtoto wa kubambikiwa ni baraka vijana wao ni viuno mbele mbele tu.

Vijana simp wanajikuta gentlemen. Hawajui tofauti ya simp na real man, hawajui kama hawa wanawake wa kisasa wanatumia advantage ya ujinga wao.

They can't ask themselves even simple questions. If past doesn't matter then why women often lie about their body count?, if she think it's ok to manipulate a man and take advantage of his loyalty, kindness and resources the why she cant tolerate it if another woman do that to her brother or son?

Vijana should know that they deserve same level of respect women demand for their fathers, brothers and sons.
 
Tafiti za wapi hizi? Tanzania au?
 
Si ndio hapo. Watapata wa kufanana nao. Wajiulize wao wanachovya na nani kama sio hao wanaume.
 
Tafiti za wapi hizi? Tanzania au?
Tizii yangu haijafanya tafiti hii bado..zipo zilizofanyika nigeria, marekani na nchi nyingine za ulaya πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ unakaribishwa kufanya, nitakuunga mkono
cc: Natafuta Ajira
 

Attachments

uongo kama huu ndio unasababisha vijana kukimbilia kubeba majukumu wakati uchumi wao wenyewe tia maji tia maji
Ukitongoza demu anaye kunywa gongo vs demu anayetaka laki tano katika harakati za kutafuta laki tano utakutana na milioni mbili lkn yule anaye kunywa gongo huumizi kichwa vilevile ukiishi mwenyewe unaweza kulala njaa, familia lazima ile
 
Yaani mtu anakwambia eti "nimekuzalia mtoto" na wakati yeye ndio ana full custody ya kukaa na mtoto huyo pale inapotokea mmetengana, na Tena kwa baadhi ya nchi za wenzetu yeye ndio anakuwa anakupangia siku za kumuona huyo mtoto..... Na kama hiyo haitoshi Bado kwa kipindi chote anachokuwa anaishi naye anamlisha sumu za Kila aina kuhusu wewe, na wakati huo pesa za matumiz unatoa wewe.... Haya siku litoto limekuwa likubwa limepata na mafanikio utaskia linasema "my mom was everything to me, she singlehandedly raised me to get where I am today"....

Ndio maana Mimi tangu nimepata akili za kiutu uzima, nikionaga mtu eti ana bifu na dingi yake huwa sikurupuki kumlaumu mzee wake.... Maana Kuna uwezekano mkubwa bifu Hilo likawa ni matokeo ya manipulation iliyofanywa na mama yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…