Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Nielezee nini ? Wewe umeshindwa kutetea hoja yako ya bikira kwa jamii ya Sasa tunayoishi.
Suala la bikira wakati wa kuoa nimeliongelea hapa kwenye comments yangu hii hapa uko juu.
 
Utumwa ninaoongelea upo kwenye mfumo wa ndoa kisheria. Katika uko kusaidiana wewe unafanya favor na mwanaume anabanwa sheria

mfano leo hii ukaamua usichangie bill za masuala ya kifamilia hakuna sheria yoyote inayokuwajibisha na kipato chako akitaguswa lakini mwanaume akifanya ivyo anawajibishwa kisheria.

Sasa loopholes za kisheria kama hizi ndipo hapa mwanaume akikutana na mwanamke wa ajabu ajabu anageuka mtumwa.
 
Sasa kwa mentality hii ata wewe ukiwa na mtoto wa kike utaweza kumwekezea kweli?? Mwombe Mungu tu upate mtu sahihi mbaye atakuchukulia mapungufu yako na wewe utamchukulia mapungufu yake kwani hakuna aluye mkamilifu katika hii dunia. Ndoa ina nyakati za furaha na nyakati za misukosuko na hayo ndio maisha.
Fikiria mtu mmekutana na miaka labda 28, wote mmetoka jamii yenye tamaduni na makuzi na vipaumbele tofauti, mnaanza kuishi pamoja, unadhani mta align kwa kila kitu? Nop.
Kuna wakati unatoka kazn unahitaji ata mtu wa kumweleza misokosuko yako ya kazini angalau akuambie tu "poleee itakua sawa"

Ila pia naongea with provision(akiba), ndoa isiwe kifungo, kama mambo yakishindikana basi kila mmoja afuate ustaarabu wake haina haja ya kuachana kwa vita.
 
Hapa umeiweka vizuri, ni kweli. Kuna wakati ata mimi nikiona nafanya sana nusu kwa nusu nayeye najikuta namwambia baba fanya majukumu yako( sisi wanawake kuna ile unasikia ukiamsaidia sana unakua kama umebeba majukumu ya mume na ataacha kufanya) so kuogopa iyo kuna muda ata mm nasema ili sichangii mwanaume anatakiwa aende extra millege uzuri huwa anaapreciate mchango wangu na ata nisipochangia ye anafanya tu, kuna namna jamii imempotray mwanaume kma mbeba majukumu ya familia na kusahau kwamba zama hizi pia sisi wanawake tuna vipato na
 
Dada angu unajua nini? Tunapotofautiana mimi na wewe ni kwamba unajenga hoja zako kwa kufanya rejea ya mtazamo binafsi wakati mimi nafanya rejea ya mfumo uliopo.

Sheria za masuala ya mahusiano zinambana mwanaume na kumwachia mwanamke uhuru wa kufanya chochote bila kuwajibishwa, yaani mwanamke kukuacha salama aamue tu kucheza fair(kama wewe ulivyoamua kufanya kwenye ndoa yako) lakini kimfumo habanwi na sheria.

Katika namna kama iyo itakua fair kama mfumo ukizilinda pande zote mbili halafu kucheza fair iwe utashi wa mtu binafsi.
 
Hiyo ni Imani yako juu yake, kwamba una amini kuwa ni bikira.

Usianze kuaminisha watu hapa kwamba kuna mabikira kwa Sasa.

Sisi tuta amini vipi hiyo vetting yako.
Unajua tofauti ya kujua na kuamini? Utasema vipi naamini wakati nimemtoa bikira mwenyewe.

Ondoa iyo scarcity mentality kichwani. Wanawake wenye maadili, warembo na bikira wapo wengi tu
 
biashara au connection ya kazi nzuri zaidi ya uliyonayo, isipokua
Mimi binafsi sio mtaalamu wa maswala ya ndoa wala ila kwa experience niliyo nayo ya miaka niliyopo, nimegundua ndoa inaweza kukuharibia au kukutengenezea big time.
Unajua kila binadamu ana maono yake hata kabla hajaingia kwneye ndoa. Nilichojifumza mm ndoa haitakiwi kuwa sehemu ya kufulfil maono ya mmoja badala yake inapaswa kuwa sehemu ambayo mtashirikiana kila mmoja aweze kufikia maono yake na kwapamoja kuyafikia yale maono yenu ya pamoja.

Alafu maisha ya ndoa hayapaswi kucompliketiwa yaani sjui tuishi kama maandiko/maneno ya filosofa gani, sijui nani alisema hili linatatuliwaje.
Yni kuna namna tunatakiwa kuishi kawaida tu na kuacha vitu viflow, ndo ukishaanza kuwekea masharti mengi nahisi ndio kasheshe zinaanza😂 ila pia maisha ya ndoa jmn yana mengi🤣 kama hujajiandaa kiakili utafura kila siku😂 kuna siku mtagombana yaani adi mnaenda kazn kila mtu kimyaaaaa adi unawaza eh hii ndoa inafika mwisho nn alafu kuna siku mtachekaaa mtafurahiiii😆😆 kifupi kuna shido na raha.
 
Unajua tofauti ya kujua na kuamini? Utasema vipi naamini wakati nimemtoa bikira mwenyewe.

Ondoa iyo scarcity mentality kichwani. Wanawake wenye maadili, warembo na bikira wapo wengi tu
Nasema ni Imani kwa sababu hymen huwa haitoki kwa Mara moja.

Msichana anaweza akatembea na mwanaume wa kwanza afu kukabaki na extra tissues za hymen ambazo mwanaume wa pili anaweza akakutana nazo na akadhani amemtoa msichana bikra. Na damu zitatoka vile vile
 
Shukrani sana madam, kwa kuchangia nasi uzoefu..

Unajua shida ni unfair playing ground ya kusuluhisha migogoro ya ndoa kisheria sanasana kipengere cha child support nankugawana mali, mwanaume anakandamizwa sana.

Ndipo hapo wanaume wanaanza kuhoji mfumo mzima wa ndoa ukifuatilia hata kwa watu maarufu kuna trend ya kuanza kuandika mali zao majina ya mama mfano alikiba, diamond, burnaboy tayari walishaweka wazi mali zao wameandika majina ya mama zao kwaiyo hata wakioa na kutalakiana mwanamke hatopata chochote.

Ni hizi loopholes zinazompa mwanamke entitle kwenye mali na kipato cha mwanaume ndizo zinawafanya baadhi ya wanawake wabaya kuzitumia kama advantage kujipatia mali/utajiri kutoka kwa wanaume na kuaribu taswira ya wanawake wote.
 
kutokua haimaanishi usiwe na demu ukapige punyetounaweza kuwa na watoto wengi tu kama wakina diamond,pdidy nk
Comment za kijinga kama za uyo jamaa uliemjibu mimi huwa naachana nazo tu.

Kwanza hata kuoa kwenyewe hakukupi nafasi ya kupata sex kila utakapohitaji.

Wapo wengi tu hawajaoa na wanapata supply kubwa ya sex kuliko ambao wameoa
 
Kuna kitu sijaelewa.
Eneo
Africa yenye square kilometers mil 30 Ina watu bil 1.5 by 2024. China yenye square kilometers 9 mil only ina watu bil 1.4 by 2022. Africa tuzae tu. Shida ni matumizi mazuri ya rasilimali muda, akili na mali tulizojaliwa na MUNGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…