Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Hakuna cha u nice guy wala nini.
Sema tu ww hutaki kutolewa kwenye mstari wako.
 
Hii mada yamoto sana. Ila naamini ugumu wa upatikanaji wa bikra umesababishwa na wanaume waliopochukulia poa kuoa mwanamke bila bikra basi wanawake wakaanza kuzitoa hata kwa chipsi yai.

Jamii ya kiume ikiweka mkazo hakuna kuoa bila bikra hawa wanawake watajitunza kama zamani tu.

Ila mwisho wa yote maisha ya wanawake siku hizi za ufeministi ni magumu sana, mfumo huu ushastukiwa na wanawake wana suffer the consequences
 
Hapo kwenye chipsi yai, msichana ndiye anayetolewa bikra na Mwanaume.

Inatakiwa sisi wanaume tuache kabisa kufanya uharibifu kwa wasichana.
 
Kama msichana akiomba chochote kutoka kwa wanaume, asaidiwe tu kama inawezekana, lakini asiombwe mzg kufidia alichopewa.
 
Mmoja ya wanaume waliosababisha hii kitu yupo uko juu anawatetea non-virgin women hata hajiulizi kwanini wanawake hawaji hapa kujitetea wao wenyewe.

Ukitaka mwanamke akuone fala wewe jifanye tu nice guy, women hates that shit.

Infact hao wanawake anaowatetea wanamuona kama hii katuni pichani
 
Upo kwenye Imaginary line.
Kati ya mimi na wewe ni nani yupo kwenye imaginary line?

Mimi nakubali wanawake bikira wapo na wasio bikira wapo lakini linapokuja suala la kuoa it safe to go for a virgin woman

Wewe umebaki kwenye narrative yako kwamba hakuna mwanamke bikira kwenye jamii sasa.

Nani yupo kwenye imaginary line hapa? au haujui hata maana ya imagination?
 
U
Mabikira wapo wapi ?, Wewe mwenyewe ulishindwa hata kutetea hoja ya bikira
 
Mkuu una uhakika yote hayo hawayapati walio kwenye ndoa mana wengi tunaishi nao na tuyaona.
 
Hapo sasa ndio kila mtu atakutana na consequences za maamuzi yake. Lakini kusema kwamba wanawake wafanye ngono kwa hiyari yao halafu ukifika muda wa kuolewa waonekane victim kwa kukosa bikira iyo haipo.

As long as wanawake hawana maadili na wanaendekeza tamaa basi wataendelea kutumika nankuachwa tu.

Ukitaka kujichukulia kigoli au kuchukua demaged woman kwa sababu izo demages zake zimesababishwa na mwanaume mwenzako basi huo ni uamuzi wako, but personally i can't accept that shit into my life.
 
U

Mabikira wapo wapi ?, Wewe mwenyewe ulishindwa hata kutetea hoja ya bikira
Nimeshindwa kutetea au nimeshindwa kukufurahisha? uko juu nimekuandikia umuhimu wa bikira kiroho, kitamaduni, kidini,kijamii na kisaikolojia na comment yenyewe ni hii hapa?
 
Mkuu una uhakika yote hayo hawayapati walio kwenye ndoa mana wengi tunaishi nao na tuyaona.
Kuna watu hapa hawajaelewa msinginwa hoja yangu ndio maana unaona wanakuja na hoja ambazo ni subjective sana. Wanaongea mambo ambayo kuyafanikisha au kutoyafanikisha hakuna uhusiano wa moja kwa moja na ndoa. Uko juu nimeona jamaa kasema ukioa unapata akili ya kununua kiwanja, hovo suala la kununua kiwanja kweli napo ni mpaka uoe..!
 
Hilo la bikra nimezungumzia kiujumla sio kwamba nimebadilisha gia angani but kwa upande wangu binafsi bikra kwangu sio hitaji langu
 
Hilo la bikra nimezungumzia kiujumla sio kwamba nimebadilisha gia angani but kwa upande wangu binafsi bikra kwangu sio hitaji langu
Hapo umeeleweka, vile vile mimi siongei kwa kukulenga wewe peke ake naongea kwa ujumla. Kwa ujumla mwanamke bikira anampiga knock out ambae sio bikira

Kama kuna kipengere katika past ya partner wako unalazimika kukitetea maan yake ilo ni kosa la ufundi ulilifanya katika uchaguzi wako.

Ni sawa kosa ilo linaweza lisikusababishie madhara mabaya wewe binafsi lakini sio sawa kulihalalisha ili lionekane sio kosa.
 
Yani watu wanatoa sababu zakinyonge kweli wanaume tumekuwa watumwa hivi kweli mm nishindwe kula vzr, kujenga nyumba nzuri, kuwa na mali inshort kuwa na maendeleo kisa sijao hilo ni tatzo ambalo lipo in general to both sex hata wanawake wapo wanalo pia hawawazi kujenga wala kuwa na maendeleo yoyote nasikitika et mwanaune mzima unakiri siwezi kujenga au kuwa na maendeleo kisa sijaoa matumizi binafs ya akili yako ndiyo tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…