Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Unataka confirmation gani? Nimekuambia mpenzi wangu nimemkuta bikira hicho ni kiashiria kwamba mabikira wapo, sasa wewe unataka confirmatiin gani? tuwafunue wanawake wote tupu zao tuwakague kama wana bikira au?
Usi aminishe watu kwamba mabikira wapo, Sasa nani Ana amini confirmation yako ?

Wewe vipi aisee.
 
Unataka confirmation gani? Nimekuambia mpenzi wangu nimemkuta bikira hicho ni kiashiria kwamba mabikira wapo, sasa wewe unataka confirmatiin gani? tuwafunue wanawake wote tupu zao tuwakague kama wana bikira au?
Umewahi kusikia Biologist yeyote ka prove uwepo wa virginity kwa binadamu ?

Au unataka kutuletea utafiti uchwara wako uliofanya kwa huyo demu wako.
 
Kama ilivyo kampeni ya kumnyanyua mwanamke na mtoto wa kike huku wanaume na mtoto wakiume wakionekana wabaya na wanyama.
Tunaishi kwenye dunia ambayo imemezwa na mfumo jike, kinachosikitisha mpaka wanaume pia wamebebwa naniyo kasumba.

Mafeminist yanapewa platform ya kusambaza jeuri, maadili mabovu, ubaguzi na chuki za kijinsia eti ndio 50/50.

Lakini mwanaume ukisimamia misingi ya kiume na kukataa kupelekeshwa na mfumo dume utapigwa vita mpaka na wanaume wenzako.

Mtu wa aina iyo uliemjibu sio ajabu kwenye mawazo yake anafikiri kushusha standard zake na kukubaliana na disrespects na ujinga wa mwanamke huo ndio uanaume, wenyewe wanajiita gentleman au real man
 
Sasa mbona bado mnaoa ilihali hamlazimishwi, wanawake inajulikana wanaingia kwenye ndoa sababu ya financial security na society pressure, haya wanaume kinachowapeleka kwenye hizo ndoa ni kipi
Tunaoa kwa techniques zile zile za Ashraf Hakim.
 
Wee jamaa🙌🏾
 
Leo kichwa kimetulia
Hakiwazi wajukuu
 
Siku hizi ukitaka mke wa kuoa ni mtihani mkubwa sana. Nyie ambao mlioa zamani hamjui ni kwa kiasi Mungu kawapendelea. Dunia tulioyopo sasa hivi linapokuja suala la kuoa mtaani hakuna kitu kabisa
Kama hamtajali, wapeni Jukumu la kuwatafutia Wake zenu Wazee wenu.

Hata kama utakuwa umempata Mpenzi huko Mjini, mlete Kijiji afanyiwe screening kujua kama atakufaa ama laa

Japo inaweza kuchukuliwa kama dhihaka lakini inaweza kusaidia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…