Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Apataye mke apata kitu chema, amepata kibali kwa kwa Bwana, zingatia neno kibali,

Huwez kuwa kiongozi mkubwa bila kuoa, lazima uwe na mke ndipo uaminike, Hata Ben alilazimika kuoa ili awe Raisi, kuna fursa kama hizo huwezi pata kama haujaoa mkuu
 
Hizo points zote mtu makini na aliye serious na maisha anaweza kuzifanya hata akiwa single.

kama hivyo vitu kuvifanya ni mpka uoe basi utakuwa una tatizo mahali. Na unaingia nalo kwenye ndoa.
Machaguo ni yenu Mkuu

Ila kumbukeni, Wazee wenu nao wasingeoa huenda msingepata nafasi ya Kukua kufikia Rika hilo hadi kuaminika makazini kwenu pamoja na sehemu za biashara mzifanyazo

Ndoa ndiyo msingi wa Kila jambo kwenye jamii zetu
 
Endelea na punyeto mpaka siku uje kusahau jina lako ...Uzinzi sio mzuri ila tambua binadamu ana vitu vya asili , kimoja wapo ni kushiriki tendo la ndoa ndio maana unaanza kutokwa na mbegu ukifika umri fulani sio bure hizo .
 
Nimesoma heading tu.

Kuoa ni kweli kunafungua milango ya mafanikio kwa sababu utapata mtu wa kukuhoji na kukusimamia, utaacha kutumia hela hovyo.
 
Japo Kuoa Kuna nafasi kubwa sana za kukufanya Ufanikiwe.
Kuoa kuna ambatana na kuchelewesha mafanikio ya kijana kwa sababu atabeba jukumu la kumuhudumia mwanamke, gharama hizi za kuhudumia mke kijana huyu angeweza kuweka akiba na kufanya uwekezaji. Hapo sijagusa gharama za mahari.
~Unapooa, kama hujanunua kiwanja utaanza kufikiria kununua na kujenga
Hili ni suala ambalo halina uhusiano na kuoa. Mimi nimeshanunua kiwanja na kuanza ujenzi na bado sijaoa.
~Kama ulikuwa na kawaida ya kukesha Baa, Unapooa lazima utaacha hiyo tabia hivyo kukufanya upate muda mwingi wa kujiuliza na kutafakari kuhusu maisha na kuja na mawazo mbadala ya kufanya kuongeza kipato
Kukesha bar hakuhusiani na kuoa ni lifestyle tu ya mtu, hata waliooa tunakesha nao bar
~Unapata heshima tofauti na ukiwa single, hivyo ni rahisi kuaminiwa Kwa nafasi mbalimbali Kazini hata biashara. Nafasi ambazo zinaweza kukuongezea kipato n.k
Heshima ni legacy tu utayoiweka kwenye jamii. Wewe ambae umeoa na vunjabei ambae yupo single mkiomba appointment na Mo Dewji unafikiri nani atazingatiwa zaidi?
 

Yote unaweza kuyafanya hata bila kuoa, na in fact waoaji wengi huwa tayari washayafanya hayo! Ndoa ni scam tu japo mie nimeoa na naishi kwa amani na furaha na mke. Lakini contribution yake ya maana ni kunipa uchi tu, otherwise ni zero ila yeye anaamini asiponipikia siwezi kufanya kazi wala kupata mafanikio, wakati mimi najua naweza kula na kujifanyia mambo yangu bila shaka yoyote! Haya mambo walitulietea wazungu na sasa hata wao wanaona yamepitwa na wakati. Nipo tayari kwa povuz...
 
Endelea na punyeto mpaka siku uje kusahau jina lako ...Uzinzi sio mzuri ila tambua binadamu ana vitu vya asili , kimoja wapo ni kushiriki tendo la ndoa ndio maana unaanza kutokwa na mbegu ukifika umri fulani sio bure hizo .
Kwani kuoa kuna uhusiano gani hilo tendo mkuu wangu? Kwamba tusio oa hatulipati mpaka tupige nyeto ???
 
Babu Grahams mtoa mada ameeleza vizuri sana kuwa kufanikiwa ni suala la nidhamu muda na consistency. Hivi kijana unaweza kuwa navyo hata bila kuoa kama atakuwa na nia ya kutafuta mafanikio. Pia unaweza kuoa hivyo nidhamu ukawa huna pia na mafanikio usiwe nayo babu.
 
Fanya chaguo sahihi Mkuu, ila Kuoa ni muhimu Kwa Kila Mwanaume anayejielewa
 
Hizo points zote mtu makini na aliye serious na maisha anaweza kuzifanya hata akiwa single.

kama hivyo vitu kuvifanya ni mpka uoe basi utakuwa una tatizo mahali. Na unaingia nalo kwenye ndoa.
Akili za wanaume wengi zimefungwa ndani ya matrix. Eti mawazo ya kununua kiwanja napo mpaka uoe
 
Fanya tafakari ya kina kuhusu hayo uyasemayo, lakini Kuoa ni muhimu sana Kwa Kila Mwanaume anayejielewa
 
Lakini angalia ni wangapi wamefanikiwa kwenye jamii zetu hao masingles ama wale wenye familia zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…