Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Ukipata mwanamke sahihi Hiyo nadharia ina ukweli ndani yake.

Tofauti na Hapo usijichanganye kusambaza kadi za michango. Utajuta.
Iyo nadharia itafanya kazi endapo utapata mwanamke mwenye mchango wa kiuchumi tu, huo ndio usahihi pekee.

Lakini kama hana huo mchango maana yake atakua liability nankukuongezea gharama za maisha kitu ambacho kitapunguza kazi ya kuyafikia mafanikio.
 
Utengano unatoka wapi na unatokana na nini?

Oa mke unaem’mudu,madhali ndoa imefungwa ninyi ni mwili mmoja huko kuanza kuishi kama watu wawili tofauti ndani ya familia ndiko kunakovunja mahusiano mazuri.
Unajua watu wanaoa bila kupata mafunzo kwa njia ya malezi toka utotoni, yakuishi na wanawake walijikomboa kiuchumi na kifikra , yani wanaume wengi tunaingia kwenye ndoa kwa dhana ya bado wanawake wana ile mind set ya miaka 47 kuhusu ndoa 🤔
 
Ukipata mwanamke sahihi Hiyo nadharia ina ukweli ndani yake.

Tofauti na Hapo usijichanganye kusambaza kadi za michango. Utajuta.
Iyo nadharia itafanya kazi endapo utapata mwanamke mwenye mchango wa kiuchumi tu, huo ndio usahihi pekee.

Lakini kama hana huo mchango maana yake atakua liability nankukuongezea gharama za maisha kitu ambacho kitapunguza kazi ya kuyafikia mafanikiio
 
Apataye mke apata kitu chema, amepata kibali kwa kwa Bwana, zingatia neno kibali,

Huwez kuwa kiongozi mkubwa bila kuoa, lazima uwe na mke ndipo uaminike, Hata Ben alilazimika kuoa ili awe Raisi, kuna fursa kama hizo huwezi pata kama haujaoa mkuu
Kama unaoa kimkakati ni sawa. Lakini kama unaoa ukitegemea mafanikio yako yatapatikana ndoani jiandae kisaikolojia
 
Unajua watu wanaoa bila kupata mafunzo kwa njia ya malezi toka utotoni, yakuishi na wanawake walijikomboa kiuchumi na kifikra , yani wanaume wengi tunaingia kwenye ndoa kwa dhana ya bado wanawake wana ile mind set ya miaka 47 kuhusu ndoa 🤔
Unataka Kusema wanawake wa Sasa waliokomboka wako vipi kimtazamo
 
Back
Top Bottom