Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Nimesoma heading tu.

Kuoa ni kweli kunafungua milango ya mafanikio kwa sababu utapata mtu wa kukuhoji na kukusimamia, utaacha kutumia hela hovyo.
Sio kweli., kuoa kunapunguza kasi ya mafanikio kwa sababu majukumu yanaongezeka maana yake gharama za maisha zinapanda, labda kama uyo mwanamke atakua na mchango wa kiuchumi.
 
Fanya tafakari ya kina kuhusu hayo uyasemayo, lakini Kuoa ni muhimu sana Kwa Kila Mwanaume anayejielewa

Kujielewa ni subjective! Unamaanisha nini kujielewa? Can you define? Inawezekana kujielewa ulivyokariri wewe ni tofauti na mie sana, ila kumbuka nimeoa na ninaishi kwa furaha na mke na watoto. Ukichukua yangu akili kichwani kwako hii ni JF where we speak openly
 
Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo nakufungulia code kwamba umedanganywa.

Vijana wengi mmejazwa uongo vichwani mwenu kwa kuaminishwa kwamba mafanikio yenu yatapatikana kwenye ndoa. Sikiliza kijana, kabla ya kuoa ndio muda unaotakiwa kufungua milango ya mafanikio yako, huo ndio muda wa kufurahia maisha na uhuru wako kwa sababu ukioa hautapata iyo nafasi.

Kuoa ni kujivalisha minyororo ya utumwa, na katika kutimiza utumwa huo ipasavyo jamii na mamlaka za kiserikali zitakua macho kuakikisha hautoki nje ya mstari. Jaribio lolote la kujitoa kwenye utumwa huo matokeo yake ni jela au kufilisika.

Ndoa haimuongezei mwanaume chochote chenye thamani, tofauti na mwanamke ambae kwake ndoa ni ajira ya kudumu, ni mradi wa kibiashara na njia rahisi ya kuwa entitled kwenye mali za mwanaume bila kuchangia chochote kifedha au kitaaluma.

Takwimu zinaonesha 92% ya wanawake mabilionea wamepata utajiri wao kupitia talaka. Waliolewa na wanaume matajiri, wakadai talaka, wakapata mgao wa mali.

Hakuna mwanamke anaekuja kwenye maisha yako na solutions za changamoto zako au kukuwezesha kuyapata hayo mafanikio unayoambiwa utayapata ndoani. Siku zote mwanamke anakuja kwenye maisha yako ili wewe umpe suluhisho la matatizo yake na umfanyie kazi ili yeye aweze kuishi maisha rahisi kadiri iwezekanavyo.

Mwanamke hatafuti mpenzi, anatafuta mtumwa. Anataka mtumwa atakae gharamia lifestyle yake, atakaelipa bills zake na kusuluhisha matatizo yake yote hapa duniani.

Huyu mtumwa anapata nini in return? nothing beneficial, ni hasara, maangaiko, maumivu na majuto tu, kwa sababu huyu mwanamke hana chochote chenye thamani cha kuleta mezani. Mwanaume kataa kuwa mtumwa.

Mafanikio ya mwanaume ni mchakato wa nidhamu, jitihada, vikwazo na muda, sio ndoa. Mwanamke utakaemuoa hatokupa hela ya mtaji wa biashara au connection ya kazi nzuri zaidi ya uliyonayo, isipokua atakuongezea stress na gharama za maisha tu.
Kuna lijitu lijinga lipo humu jf juzi niliandika kuwa vijana wengi wa kiume kwa Sasa wengi hawataki kabisa kuoa Na ushahidi ni huyu mtoa mada ni miongoni mwao, jamaa linanibishia eti mbona daressalam kumbi zinajaa harusi, yaani jamaa ana generalize kama vile daressalam ndio Tanzania nzima.
 
Maisha ni 50/50
Wapo watakaofanikiwa na wapo watakaopoteza cha muhimu cheza karata zako vizuriiii .... pata maarifa .. andika mali kwa majina ya watoto ama familia ... ongeza hekima na weka akiba yako binafsi (me & ke) pasipo tatizika
Sasa kama hamuaminiani hivi kuna haja gani ya kuoa?
 
Huo Uhuru mnaoudai wengine wameishia kubaya

wengi hujikuta katika starehe ambazo zinawaletea hata ukilema, ulevi kupindukia, maradhi coz Ile jeuri ya kuwa mwenyewe wala hupangiwi cha kufanya ndio hupotea
Kwanini huo uhuru umeuambatanisha na mambo mabaya tu? Hakuna ambao wameutumia huo uhuru kufanya mambo mazuri? Mimi sijaoa kwaiyo nina uhuru wa kutumia kipato changu kwa ajiri ya masilahi yangu tu na hii imeniwezesha kununua kiwanja na kuanza ujenzi kitu ambacho ingekua kigumu kidogo kama ningekua nimroa kwa sababu kumtunza mke kungeniongezea gharama za maisha. Hauoni kama uhuru umeninufaisha?
 
Mbona maisha yanageuzwa vita?kwa asiyekuwa na utulivu wa kusoma na kuchanganua vitu ili kuelewa vitu vya hovyo kama hivi kwake kuvifuata huwa haraka sana.

Mimi nimeoa mke tunaishi nyumba niliyojenga mwenyewe kwa hela zangu hakuna siku nimewaza atanifanyia visa na kwanini nianze kuwaza hivyo?unfortunately wanaoandika hizi mada ni vijana aged 26 to 33 hawajui lolote kwenye maisha ya ndoa,uniambie mimi ni mtumwa wa mke wangu?amenizalia watoto watatu leo eti mtumwa wake kuna boss anakubali kuzalishwa na mtumwa?
 
Kujielewa ni subjective! Unamaanisha nini kujielewa? Can you define? Inawezekana kujielewa ulivyokariri wewe ni tofauti na mie sana, ila kumbuka nimeoa na ninaishi kwa furaha na mke na watoto. Ukichukua yangu akili kichwani kwako hii ni JF where we speak openly
Nije na takwimu kwamba huwa ninazagamua na sija oa !!!!! Upo serious kweli master?

Nije na takwimu kwamba huwa ninazagamua na sija oa !!!!! Upo serious kweli master?
Namaanisha twakimu za ambao wameoa na Wakafanikiwa angle hizi nne
1.economical
2.social
3.pyschological(especially hii angle)
4.spritual
 
Maisha ni 50/50
Wapo watakaofanikiwa na wapo watakaopoteza cha muhimu cheza karata zako vizuriiii .... pata maarifa .. andika mali kwa majina ya watoto ama familia ... ongeza hekima na weka akiba yako binafsi (me & ke) pasipo tatizika
Utengano unatoka wapi na unatokana na nini?

Oa mke unaem’mudu,madhali ndoa imefungwa ninyi ni mwili mmoja huko kuanza kuishi kama watu wawili tofauti ndani ya familia ndiko kunakovunja mahusiano mazuri.
 
Back
Top Bottom