Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,433
- 3,210
Sio kweli., kuoa kunapunguza kasi ya mafanikio kwa sababu majukumu yanaongezeka maana yake gharama za maisha zinapanda, labda kama uyo mwanamke atakua na mchango wa kiuchumi.Nimesoma heading tu.
Kuoa ni kweli kunafungua milango ya mafanikio kwa sababu utapata mtu wa kukuhoji na kukusimamia, utaacha kutumia hela hovyo.
Diamond yuko singleLakini angalia ni wangapi wamefanikiwa kwenye jamii zetu hao masingles ama wale wenye familia zao
Kwani kuoa kuna uhusiano gani hilo tendo mkuu wangu? Kwamba tusio oa hatulipati mpaka tupige nyeto ???
Lakini angalia ni wangapi wamefanikiwa kwenye jamii zetu
Fanya tafakari ya kina kuhusu hayo uyasemayo, lakini Kuoa ni muhimu sana Kwa Kila Mwanaume anayejielewa
Nani anaeweka standard za uyo mwanaume anaejielewa?Fanya chaguo sahihi Mkuu, ila Kuoa ni muhimu Kwa Kila Mwanaume anayejielewa
Babu GRAHAMAkili za wanaume wengi zimefungwa ndani ya matrix. Eti mawazo ya kununua kiwanja napo mpaka uoe
Kwa dunia ya sasa kuna vijana wengi wamefanikiwa na wako single. Si wanawake wala wanaumeLakini angalia ni wangapi wamefanikiwa kwenye jamii zetu hao masingles ama wale wenye familia zao
Nije na takwimu kwamba huwa ninazagamua na sija oa !!!!! Upo serious kweli master?Mje na twakimu
Kuna lijitu lijinga lipo humu jf juzi niliandika kuwa vijana wengi wa kiume kwa Sasa wengi hawataki kabisa kuoa Na ushahidi ni huyu mtoa mada ni miongoni mwao, jamaa linanibishia eti mbona daressalam kumbi zinajaa harusi, yaani jamaa ana generalize kama vile daressalam ndio Tanzania nzima.Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo nakufungulia code kwamba umedanganywa.
Vijana wengi mmejazwa uongo vichwani mwenu kwa kuaminishwa kwamba mafanikio yenu yatapatikana kwenye ndoa. Sikiliza kijana, kabla ya kuoa ndio muda unaotakiwa kufungua milango ya mafanikio yako, huo ndio muda wa kufurahia maisha na uhuru wako kwa sababu ukioa hautapata iyo nafasi.
Kuoa ni kujivalisha minyororo ya utumwa, na katika kutimiza utumwa huo ipasavyo jamii na mamlaka za kiserikali zitakua macho kuakikisha hautoki nje ya mstari. Jaribio lolote la kujitoa kwenye utumwa huo matokeo yake ni jela au kufilisika.
Ndoa haimuongezei mwanaume chochote chenye thamani, tofauti na mwanamke ambae kwake ndoa ni ajira ya kudumu, ni mradi wa kibiashara na njia rahisi ya kuwa entitled kwenye mali za mwanaume bila kuchangia chochote kifedha au kitaaluma.
Takwimu zinaonesha 92% ya wanawake mabilionea wamepata utajiri wao kupitia talaka. Waliolewa na wanaume matajiri, wakadai talaka, wakapata mgao wa mali.
Hakuna mwanamke anaekuja kwenye maisha yako na solutions za changamoto zako au kukuwezesha kuyapata hayo mafanikio unayoambiwa utayapata ndoani. Siku zote mwanamke anakuja kwenye maisha yako ili wewe umpe suluhisho la matatizo yake na umfanyie kazi ili yeye aweze kuishi maisha rahisi kadiri iwezekanavyo.
Mwanamke hatafuti mpenzi, anatafuta mtumwa. Anataka mtumwa atakae gharamia lifestyle yake, atakaelipa bills zake na kusuluhisha matatizo yake yote hapa duniani.
Huyu mtumwa anapata nini in return? nothing beneficial, ni hasara, maangaiko, maumivu na majuto tu, kwa sababu huyu mwanamke hana chochote chenye thamani cha kuleta mezani. Mwanaume kataa kuwa mtumwa.
Mafanikio ya mwanaume ni mchakato wa nidhamu, jitihada, vikwazo na muda, sio ndoa. Mwanamke utakaemuoa hatokupa hela ya mtaji wa biashara au connection ya kazi nzuri zaidi ya uliyonayo, isipokua atakuongezea stress na gharama za maisha tu.
Sasa kama hamuaminiani hivi kuna haja gani ya kuoa?Maisha ni 50/50
Wapo watakaofanikiwa na wapo watakaopoteza cha muhimu cheza karata zako vizuriiii .... pata maarifa .. andika mali kwa majina ya watoto ama familia ... ongeza hekima na weka akiba yako binafsi (me & ke) pasipo tatizika
Ukiwa shoga/msagaji/msagwaji haupo single.Mkuu ni kama Sasa unahamasisha ushoga na ulesbian Kwann watu wawe single mzee
Kwanini huo uhuru umeuambatanisha na mambo mabaya tu? Hakuna ambao wameutumia huo uhuru kufanya mambo mazuri? Mimi sijaoa kwaiyo nina uhuru wa kutumia kipato changu kwa ajiri ya masilahi yangu tu na hii imeniwezesha kununua kiwanja na kuanza ujenzi kitu ambacho ingekua kigumu kidogo kama ningekua nimroa kwa sababu kumtunza mke kungeniongezea gharama za maisha. Hauoni kama uhuru umeninufaisha?Huo Uhuru mnaoudai wengine wameishia kubaya
wengi hujikuta katika starehe ambazo zinawaletea hata ukilema, ulevi kupindukia, maradhi coz Ile jeuri ya kuwa mwenyewe wala hupangiwi cha kufanya ndio hupotea
Kujielewa ni subjective! Unamaanisha nini kujielewa? Can you define? Inawezekana kujielewa ulivyokariri wewe ni tofauti na mie sana, ila kumbuka nimeoa na ninaishi kwa furaha na mke na watoto. Ukichukua yangu akili kichwani kwako hii ni JF where we speak openly
Nije na takwimu kwamba huwa ninazagamua na sija oa !!!!! Upo serious kweli master?
Namaanisha twakimu za ambao wameoa na Wakafanikiwa angle hizi nneNije na takwimu kwamba huwa ninazagamua na sija oa !!!!! Upo serious kweli master?
Kama hauwezi kujisimamia, usioe.Nimesoma heading tu.
Kuoa ni kweli kunafungua milango ya mafanikio kwa sababu utapata mtu wa kukuhoji na kukusimamia, utaacha kutumia hela hovyo.
😂Hii kali mkuuUkiwa shoga/msagaji/msagwaji haupo single.
Namaanisha twakimu za ambao wameoa na Wakafanikiwa angle hizi nne
1.economical
2.social
3.pyschological(especially hii angle)
4.spritual
Wazazi wangu, ila hilo la spiritual halina uthibitisho wa uwepo wake zaidi ya hadithi za kubumba tu.Namaanisha twakimu za ambao wameoa na Wakafanikiwa angle hizi nne
1.economical
2.social
3.pyschological(especially hii angle)
4.spritual
Utengano unatoka wapi na unatokana na nini?Maisha ni 50/50
Wapo watakaofanikiwa na wapo watakaopoteza cha muhimu cheza karata zako vizuriiii .... pata maarifa .. andika mali kwa majina ya watoto ama familia ... ongeza hekima na weka akiba yako binafsi (me & ke) pasipo tatizika