The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Mnaiga kwa failures,ungekuwa wewe ungempa bintiyo mtu kama huyu?Mzee mpili yupo single
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaiga kwa failures,ungekuwa wewe ungempa bintiyo mtu kama huyu?Mzee mpili yupo single
🤣Mnaiga kwa failures,ungekuwa wewe ungempa bintiyo mtu kama huyu?
View attachment 3133424
Hata ukiitoa ndoa, maisha ya mwanadam kwa ujumla ni utumwa.Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo nakufungulia code kwamba umedanganywa.
Vijana wengi mmejazwa uongo vichwani mwenu kwa kuaminishwa kwamba mafanikio yenu yatapatikana kwenye ndoa. Sikiliza kijana, kabla ya kuoa ndio muda unaotakiwa kufungua milango ya mafanikio yako, huo ndio muda wa kufurahia maisha na uhuru wako kwa sababu ukioa hautapata iyo nafasi.
Kuoa ni kujivalisha minyororo ya utumwa, na katika kutimiza utumwa huo ipasavyo jamii na mamlaka za kiserikali zitakua macho kuakikisha hautoki nje ya mstari. Jaribio lolote la kujitoa kwenye utumwa huo matokeo yake ni jela au kufilisika
Vunjabei yupo singleElon Musk yupo single,
Bill Gates yupo single.
Mara nyingi iko hivyo, mwanamke atakuuliza mshahara wa mwezi huu umefanyia nini?
Hilo litakufanya usitumie hovyo kwa kuogopa kukosa amani nyumbani kwako.
Sasa kama unaninyima unyumba?mbna mnatuonea tukitoka nje mnachukua mali dahMwanaume mbishi mbishi na Mjuaji kweli ataona ndoa ni chungu na haina faida.
Wanaume waelewa wanajua utamu wa ndoa na Wala hakuna hayo unayoeleza.
Ndoa ni kuelewana wote wawili kuwa kitu kimoja.
Uanze kuchepuka nani akuache wewe adhabu ni kupukutisha mali zako unazoshindwa kuzitumia kwa akili. 😜😜😜
Zaman ulikuwa unatoa bikra kwanza Ndio unaowa Kama hana bikra Huyo sio mkeo.😀😀😀😀
Mkuu utani tu Ila wewe unadhani mafanikio ni pesa tu mkuu hapo tutaanzisha topic nyingineMnaiga kwa failures,ungekuwa wewe ungempa bintiyo mtu kama huyu?
View attachment 3133424
Kuna ambao wanaanza pamoja kutoka Chini, hao ni wengi piaHao wenye familia zao wengi wanaoa wakiwa washafanikiwa. Mke anakuja anamkuta mume tayari ana streams za kutengeneza maokoto.
Bikra sahv ni kama kutafuta zile soda fupi za mwara(if kama sijakosea) ukizipata sana sana ni novida😂Zaman ulikuwa unatoa bikra kwanza Ndio unaowa Kama hana bikra Huyo sio mkeo.
Lakin saiz din inatupotosha😃
Kuna ambao wanaanza pamoja kutoka Chini, hao ni wengi pia
Saiz n matapeliNatamani nimpate huyo bado sijabahatika
Ila kuwachakata muhimuSaiz n matapeli
#KATAA NDOA
Takwimu zinaonesha migogoro na talaka kesi za talaka kwa asilimia kubwa sana zinatoka kwenye ndoa ya hao wanawake waliojikomboa kifikra na kiuchumi maarufu kama empowered women, kwaiyo hatuwezi kujidanganya kwamba hawana tatizo lolote hao wanawake.Unajua watu wanaoa bila kupata mafunzo kwa njia ya malezi toka utotoni, yakuishi na wanawake walijikomboa kiuchumi na kifikra , yani wanaume wengi tunaingia kwenye ndoa kwa dhana ya bado wanawake wana ile mind set ya miaka 47 kuhusu ndoa 🤔
Hakiksha ukipewa nafas kichafue Mpaka aseme 😃Ila kuwachakata muhimu
Katika jamii hii tuliyopo bado unaamini hauwezi kupata sex mpaka uoe?Bila ya ndoa ndugu yangu utaishije ? Hamu utamaliza wapi zaidi ya kufanya zinaa tu na punyeto.
JIDANGANYE!!!Yani kwangu mimi nikitaka kuoa nitaoa hata waziri ,mwanamke ni mwanamke tu na mimi ni mwanaume na maisha yataenda kwa kila mmoja kumheshimu mwenzake.
Unanyimwa unyumba kwa sababu ya makosa yenu wenyewe.Sasa kama unaninyima unyumba?mbna mnatuonea tukitoka nje mnachukua mali dah
Kwa kifupi ni kwamba hawana utiifu na ile womanhood kama waliokua nayo wanawake wa zamani, kwaiyo anachotaka kumaanisha ndugu yetu wanaume tuzishushe standards zetu ili kwenda nao sambambaUnataka Kusema wanawake wa Sasa waliokomboka wako vipi kimtazamo