Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo nakufungulia code kwamba umedanganywa.

Vijana wengi mmejazwa uongo vichwani mwenu kwa kuaminishwa kwamba mafanikio yenu yatapatikana kwenye ndoa. Sikiliza kijana, kabla ya kuoa ndio muda unaotakiwa kufungua milango ya mafanikio yako, huo ndio muda wa kufurahia maisha na uhuru wako kwa sababu ukioa hautapata iyo nafasi.

Kuoa ni kujivalisha minyororo ya utumwa, na katika kutimiza utumwa huo ipasavyo jamii na mamlaka za kiserikali zitakua macho kuakikisha hautoki nje ya mstari. Jaribio lolote la kujitoa kwenye utumwa huo matokeo yake ni jela au kufilisika
Hata ukiitoa ndoa, maisha ya mwanadam kwa ujumla ni utumwa.
 
Mwanaume mbishi mbishi na Mjuaji kweli ataona ndoa ni chungu na haina faida.
Wanaume waelewa wanajua utamu wa ndoa na Wala hakuna hayo unayoeleza.

Ndoa ni kuelewana wote wawili kuwa kitu kimoja.

Uanze kuchepuka nani akuache wewe adhabu ni kupukutisha mali zako unazoshindwa kuzitumia kwa akili. 😜😜😜
Sasa kama unaninyima unyumba?mbna mnatuonea tukitoka nje mnachukua mali dah
 
Mnaiga kwa failures,ungekuwa wewe ungempa bintiyo mtu kama huyu?
View attachment 3133424
Mkuu utani tu Ila wewe unadhani mafanikio ni pesa tu mkuu hapo tutaanzisha topic nyingine
1.kitendo cha kuongea jambo na watu wengne wakafurahia hayo ni mafanikio
(mzee mpili ni mburudishaji) kwahiyo naye amefanikiwa Katika angle hiyo Ata kama hela nyingi
 
Unajua watu wanaoa bila kupata mafunzo kwa njia ya malezi toka utotoni, yakuishi na wanawake walijikomboa kiuchumi na kifikra , yani wanaume wengi tunaingia kwenye ndoa kwa dhana ya bado wanawake wana ile mind set ya miaka 47 kuhusu ndoa 🤔
Takwimu zinaonesha migogoro na talaka kesi za talaka kwa asilimia kubwa sana zinatoka kwenye ndoa ya hao wanawake waliojikomboa kifikra na kiuchumi maarufu kama empowered women, kwaiyo hatuwezi kujidanganya kwamba hawana tatizo lolote hao wanawake.

Katika safari ya huyo mwanamke hapo njiani anakutana na toxic teachings nyingi sana. Ataambiwa kila analofanya mwanaume na wewe unaweza, ataambiwa ukiwa na hela zako mwanaume hakubabaishi n.k hii mindset wanaenda kui-apply kwenye ndoa ndipo tatizo linapoanzia.

Vile vile kwa sasa jamii yetu ipo kwenye transformation kutoka patriarchy kwenda kwenye equality. Kuna eneo ambalo bado wanawake wapo njia panda. Wanataka usawa lakini hawataki wajibu unaotokana na huo usawa.

yaani kama zamani walikua wanawekwa kando kwenye saula la ajira na kuhudumiwa na mwanaume sasa hivi wanajumuishwa kwenye ajira maana yake lile takwa la kuhudumiwa na mwanaume inabidi liondolewe, hapa ndipo wanawake hawapataki.

Wanataka usawa kwenye jamii ya equality tuliyopo lakini hawataki kuziachia zile privileges walizokua wanazipata kipindi cha patriarchy.

Wanawake ndio mvulugano wa haya yote kwa sababu wameshindwa kuielewa dhana ya usawa au kama wameielewa basi hawapo tayari kuwajibika.
 
Sasa kama unaninyima unyumba?mbna mnatuonea tukitoka nje mnachukua mali dah
Unanyimwa unyumba kwa sababu ya makosa yenu wenyewe.
Na ikithibitika umechepuka umekwisha kabisa.
Mchepuko hana nafasi kwenye mali za watoto. 😅
 
Back
Top Bottom