Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

well said...familia ndio msingi wa kila kitu kwenye jamii...waliotuletea mke moja na maisha ya kisasa kibepari uchwara...walishindwa kutuondolea desturi zetu za kale kuwa baba ndio main provider wakati mama ni wa kukaa kuhudumiwa...wangeleta mifumo kama ya kwao ukiolewa kwanza wanaoana 50/50 mezani kodi ya nyumba na mengineyo...hakuna mmoja kubeba majukumu yote na mwingine kusikilizia.. wanawake wenye ngozi ya mkaa nawaona wasivyoweza kutekeleza hilo..
You have said it all Sir
 
Kwani si tulisha fika hapa, wewe ukasema KE yeyote asie bikira ni mdangaji.
Kimila na kidini non-virgin woman anatambulika kama malaya. Tatizo tunaishi katika nyakati ambazo dunia imemezwa na ufeminia ambapo mwanaume kanyong'ezwa na kupandikizwa fikra kwamba kusimamia misingi yake ni ukatili na kukubali kuingia kwenye mfumo wa mwanamke ndio ustaarabu(wewe pia unaingia kwenye hili kundi)

Tutaandika hapa kila kitu lakini ukweli unabaki kuwa bikira ni kigezo muhimu sana cha kuzingatia linapokuja suala la kuoa.

Kimaadili mwanamke bikira ni kiashiria cha kwamba amejitunza na kuheshimu mwili wake.

Kijamii inalinda heshima na hadhi ya mwanaume. Kuna dhiaka na dharau unaweza kukutana nazo ukioa mwanamke ambae uchi wake ushafunuliwa na wanaume wengine.

Kidini bikira ni kigezo pia ndio maana wanawake wasiokua bikira hawakuwa na uhalali wa kutolewa mahari nanpia imeamliwa wapigwe mawe mpaka kufa.

Waumini wa masuala ya kiroho pia wanaamini kila mwanamke anabeba roho za wanaume wote aliofanya nao sex, kwaiyo ukishiriki nae sex nawe pia unachukua roho za waliokutangulia sasa kama walikua na laana au mikosi nawe unazibeba pia

Kisaikolojia vile vile kutengeneza chemistry ya sex na mwanamke ambae ana flashback ya kufanya sex na wanaume wengine ni ngumu ukikinganisha na yule ambae anamjua mwanaume mmoja tu, na hapa ambapo hii chemistry inakosekana ndipo instict ya kucheat inaanzia.

Hakuna kigezo kimoja pekee ambacho non-virgin woman anaweza kupiga KO virgin waman. Lakini tunavigezo vingi ambavyo vikisimamishwa kimoja tu virgin woman anampiga KO non-virgin.

Tutatetea mademu na wake zetu kwa sababu hatukuwakuta bikira lakini ukweli unabaki pale pale mwanamke bikira na ambae sio bikira hauwezi kuwaweka kwenye mzani mmoja
 
Mimi wala sipo kwenye hilo kundi unalofikiria wewe.

Unatakiwa kuandika mambo yatakayo wasaidia vijana wa sasa na sio kueleza mambo yaliyoko kuwa yakifanyika zamani.

Kama kwa Sasa viongozi wa dini hawafuatilii hayo mambo ya bikira wakati wa kuoana, unadhani hayo mambo utakayo andika yatakuwa na msaada gani kwa vijana wa sasa. Zitakuwa stories tu.
 
Bila shaka wewe ni mmoja wa vijana ambao akili zenu zimepumbazwa na mfumo jike ambao dunia inahuishi leo hii.

Tunaishi katika dunia ambayo mwanaume kaaminishwa kusimama kwenye standards zake ni unyanyasaji/ubaguzi wa kijinsia lakini kuzishusha standards zake na kupuuzia ujinga na machafu ya mwanamke ndio uanaume.

Ukisikia mwanaume anaitwa nice guy, real man au gentleman basi ndio hawa wanaume wa aina yako

Ni wale vijana ambao mnaamini kuoa mwanamke bikira ni utaratibu ambao umepitwa na wakati lakini kuoa mwanamke aliekitombesha, single mother na mwenye trauma za mahusiano yake ya nyuma ndio uanaume

wewe hauwezi kujiongeza bila kuambiwa na kiongozi wa dini? Kwanza dini ishakuambia mwanamke asiye bikira ni malaya sasa unataka uyo kiongozi wa dini afanye nini, amkague uyo mwanamke anaetaka kumuoa?
 
Kwenye Biblia hujui Kama wazee walokuwa wakifuatilia mambo ya bikira walikuwa pia ni viongozi wa dini kwenye Masinagogi.

Anyway umeshindwa kutetea hoja yako ya bikira.
 
Kuweka kanuni si ndo kufatilia uko au ulitaka wanawake wawe wanafunuliwa uchi kukaguliwa? yaani unataka hao bikira wafuatiliwe kwa njia zipi.
 
Kuna delusional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo nakufungulia code kwamba umedanganywa.

Vijana wengi mmejazwa uongo vichwani mwenu kwa kuaminishwa kwamba mafanikio yenu yatapatikana kwenye ndoa. Sikiliza kijana, kabla ya kuoa ndio muda unaotakiwa kufungua milango ya mafanikio yako, huo ndio muda wa kufurahia maisha na uhuru wako kwa sababu ukioa hautapata iyo nafasi.

Kuoa ni kujivalisha minyororo ya utumwa, na katika kutimiza utumwa huo ipasavyo jamii na mamlaka za kiserikali zitakua macho kuakikisha hautoki nje ya mstari. Jaribio lolote la kujitoa kwenye utumwa huo matokeo yake ni jela au kufilisika.

Ndoa haimuongezei mwanaume chochote chenye thamani, tofauti na mwanamke ambae kwake ndoa ni ajira ya kudumu, ni mradi wa kibiashara na njia rahisi ya kuwa entitled kwenye mali za mwanaume bila kuchangia chochote kifedha au kitaaluma.

Takwimu zinaonesha 92% ya wanawake mabilionea wamepata utajiri wao kupitia talaka. Waliolewa na wanaume matajiri, wakadai talaka, wakapata mgao wa mali.

Hakuna mwanamke anaekuja kwenye maisha yako na solutions za changamoto zako au kukuwezesha kuyapata hayo mafanikio unayoambiwa utayapata ndoani. Siku zote mwanamke anakuja kwenye maisha yako ili wewe umpe suluhisho la matatizo yake na umfanyie kazi ili yeye aweze kuishi maisha rahisi kadiri iwezekanavyo.

Mwanamke hatafuti mpenzi, anatafuta mtumwa. Anataka mtumwa atakae gharamia lifestyle yake, atakaelipa bills zake na kusuluhisha matatizo yake yote hapa duniani.

Huyu mtumwa anapata nini in return? nothing beneficial, ni hasara, maangaiko, maumivu na majuto tu, kwa sababu huyu mwanamke hana chochote chenye thamani cha kuleta mezani. Mwanaume kataa kuwa mtumwa.

Mafanikio ya mwanaume ni mchakato wa nidhamu, jitihada, vikwazo na muda, sio ndoa. Mwanamke utakaemuoa hatokupa hela ya mtaji wa biashara au connection ya kazi nzuri zaidi ya uliyonayo, isipokua atakuongezea stress na gharama za maisha tu.
Mi sijui mnakutanaga na wanawake wa dizaini gani yaani tttu!! Mfano mimi nimelewa na mwanzo wa maisha yetu mr ndio akikua na kipato kuzd mm, ila saiv mm namzidi, mali tumechangia kuzitafuta kwa pamoja, ada za watoto analipa term mbili na mm namalizia mbili. Matumizi ya nyumbn menginemengine yeye anafanya zaidi yangu mm nampa back up anapokwama
Sasa sielewi unaposema yeye ni mtumwa wangu duh!!

Una mentality mbaya sana sana, nyie ndio wale wanaume/wanandugu mnaonyanyasaga wake/wajane wenu.
Ninhuzuni sana
Jua kwamba dunia imebadilika saivi kila mzazi anajitahidi kumkomboa mwanaea kike kifikra na kiuchumi ili kumwandaa kuzikabili changamoto za dunia ya sasa, watoto wakike siku izi sio wote ni tegemezi.
 
Back
Top Bottom