Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Acheni kabisa kuoa, kwanini muoe halafu muishi kwa machale ilihali ndoa haina uhuhimu wowote kwenu, msioe ili muishi maisha yenu kwa rahaTunaoa kwa techniques zile zile za Ashraf Hakim.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni kabisa kuoa, kwanini muoe halafu muishi kwa machale ilihali ndoa haina uhuhimu wowote kwenu, msioe ili muishi maisha yenu kwa rahaTunaoa kwa techniques zile zile za Ashraf Hakim.
Tunapinga ndoa!! Yaani kusimamiwa na kusainishwa mkataba ambao hata hao wanaojifanya kuwa washauri wenu hawatakusaidia wakati utakapokuwa unanyongwa na vifungu vilivyomo ndani ya hiyo mikataba..Huo Uhuru mnaoudai wengine wameishia kubaya
wengi hujikuta katika starehe ambazo zinawaletea hata ukilema, ulevi kupindukia, maradhi coz Ile jeuri ya kuwa mwenyewe wala hupangiwi cha kufanya ndio hupotea,
Tuwekane Sawa
Mnapingandoa au mnapinga kuishi na mwanamke?
Kwani Jadda mimi kuishi na wewe ni lazima nikuoe?? Yaani nisaini mkataba kuwa nitakuwa submissive kwako?Acheni kabisa kuoa, kwanini muoe halafu muishi kwa machale ilihali ndoa haina uhuhimu wowote kwenu, msioe ili muishi maisha yenu kwa raha
Yani umemaliza. Wasioeeee yaaniAcheni kabisa kuoa, kwanini muoe halafu muishi kwa machale ilihali ndoa haina uhuhimu wowote kwenu, msioe ili muishi maisha yenu kwa raha
Sasa kwanini msifanye hivyo, mbona bado mnafunga zile ndoa zinazotambulika kidini na kisheria, yani hoja yangu ni kwamba kama mnayajua hayo yote kwanini bado mnaingia kwenye ndoaKwani Jadda mimi kuishi na wewe ni lazima nikuoe?? Yaani nisaini mkataba kuwa nitakuwa submissive kwako?
Mi nadhani uwezo wa kujihudumia na kukuhudumia Jadda utoshe tu kutuweka pamoja
Sio mpaka nikuoe.
Na naposema kukuhudumia namaanisha zile essential needs tu no going extra miles to please Jadda
Rekebisha basi hapo sio tunaingia sema baadhi wanaingia mimi siwezi kuingia kwenye ndoa kamwe na sijawahi hata itokee niniSasa kwanini msifanye hivyo, mbona bado mnafunga zile ndoa zinazotambulika kidini na kisheria, yani hoja yangu ni kwamba kama mnayajua hayo yote kwanini bado mnaingia kwenye ndoa
😄😄 Yan nikiona mtu anasema akioa ndo ataweza kuieshimu pesa huwa nachekaga sana nakuamin hapa duniani tuko tofauti sana naicho kinaniamisha mm ni kijana wa tofauti sana na lazima nitakuja kuwa tajiri one day.coz asilimia kubwa ya vijana wa bongo wanategemea msaada wa mwanamke kuja kuwafundisha nidhamu ya fedha.Hizo points zote mtu makini na aliye serious na maisha anaweza kuzifanya hata akiwa single.
kama hivyo vitu kuvifanya ni mpka uoe basi utakuwa una tatizo mahali. Na unaingia nalo kwenye ndoa.
Kwani mabadiliko yanaanza na watu wangapi?Sasa unataka tuache kuuongelea uhalisia tukuongelee wewe
Dooh kwahiyo unadhani itafika kipindi wanaume wote wataacha kabisa kuoa, na unadhani wakati huo wanawake nao bado watakuwa wanazihitaji ndoa kama sasa, anyway till then basi bado tutaendelea kuamini kwamba wanaume wanazihitaji ndoa ndio maana bado wanaoaKwani mabadiliko yanaanza na watu wangapi?
Si ni mtu mmoja mmoja?
Jadda unataka niingie kwenye ndoa wakati mnufaika mkubwa ni wewe? Tunachukua uelekeo mpya kimya kimya bila kuieleza dunia azma yetu
Ndio maana ndoa zinapungua kwa kasi kuliko ile sogea tuishi..
Unachanganya mambo kati ya ndoa na kuishi pamoja na ndio maana watu huwa wanakupuuza.Dooh kwahiyo unadhani itafika kipindi wanaume wote wataacha kabisa kuoa, na unadhani wakati huo wanawake nao bado watakuwa wanazihitaji ndoa kama sasa, anyway till then basi bado tutaendelea kuamini kwamba wanaume wanazihitaji ndoa ndio maana bado wanaoa
Hilo swali la kuhusu kumkomoa nani nafikiri mlitakiwa mjiulize ninyi wanaume na kauli yenu ya sizitaki mbichi hizi ya "kataa ndoa ni utapeli" halafu kwanza ni tabia zipi hizo za wanawake mnazozipinga ambazo zinapatikana kwenye ndoa tu na siyo kwenye "kuishi pamoja", hivi umeshawahi kusikia ule msemo kwamba "kadiri mwanaume anavyopata pesa ndivyo anavyotamani kuwa na wanawake wengi ila kadiri mwanamke anavyopata pesa ndivyo amavyotamani kujiweka mbali na wanaume", katika mahali ambapo mlijichanganya ni kukubali wanawake watafute pesa na wajiweze kiuchumi na kama mnadhani hilo ndilo litakuwa nafuu kwenu basi niwape pole maana hata sasa tu alama za nyakati zinaonesha chanzo cha wanawake wengi kuanza kukataa ndoa mnazozihitaji ni kipi na huko tunakoelekea sijui ndio hali itakuwaje aseeUnachanganya mambo kati ya ndoa na kuishi pamoja na ndio maana watu huwa wanakupuuza.
Level ya kuelewa mada kwako inatia mashaka kidogo kumbuka sisi hatuwapingi ninyi bali tunapinga tabia zenu za kinyama..
Sasa unaposema kuwa kwa baadae wanawake hawatazihitaji ndoa..hapo unamkomoa nani??
Unadhani kuwa mwanamke atabadilisha mindset yake na kuwa provider kabisa??
Then if so ni vizuri maana atakuwa anajitegemea kitu ambacho kitaleta unafuu kwa jinsia me na vipi kuhusu mambo ya talaka maanake hazitakuwepo maana ndoa hazifungwi tunaishi by mutual agreements tu..
Hata hapa unaonyesha kuwa haupo tayari hii ndoa ifutike maana mnufaika mkubwa unamfahamu vizuri..
Kwanini akipata pesa anajiweka mbali na mwanaume?? Kwanza mwanaume yupi? Obvious ni yule aliyeanza nae maisha..Hilo swali la kuhusu kumkomoa nani nafikiri mlitakiwa mjiulize ninyi wanaume na kauli yenu ya sizitaki mbichi hizi ya "kataa ndoa ni utapeli" halafu kwanza ni tabia zipi hizo za wanawake mnazozipinga ambazo zinapatikana kwenye ndoa tu na siyo kwenye "kuishi pamoja", hivi umeshawahi kusikia ule msemo kwamba "kadiri mwanaume anavyopata pesa ndivyo anavyotamani kuwa na wanawake wengi ila kadiri mwanamke anavyopata pesa ndivyo amavyotamani kujiweka mbali na wanaume", katika mahali ambapo mlijichanganya ni kukubali wanawake watafute pesa na wajiweze kiuchumi na kama mnadhani hilo ndilo litakuwa nafuu kwenu basi niwape pole maana hata sasa tu alama za nyakati zinaonesha chanzo cha wanawake wengi kuanza kukataa ndoa mnazozihitaji ni kipi na huko tunakoelekea sijui ndio hali itakuwaje asee
😂😂😂NDOA NI UKANDA WA GAZA
Kwanza kabisa suala la kujiweka mbali na mtu uliyeanza naye maisha halipo kwa wanawake tu tena wanaume nadhani ndio mabingwa wa hilo wanawake wakasome, mwanamke anakuvumilia from scratch halafu ukipata pesa unamuacha au unachepuka na wale ambao unaona ndio type yako na unawahonga hela ambazo hawajui uchungu wake, hoja yangu ni kwamba wote wawili wanapopata pesa mwanaume kipaumbele chake ni wanawake ila mwanamke kipaumbele chake siyo wanaume mwanamke kamwe hawezi kuwasahau watoto, wazazi, ndugu na jamaa ila mwanaume yuko radhi wazazi wake waishi maisha ya tabu kijijini ila yeye ahongeKwanini akipata pesa anajiweka mbali na mwanaume?? Kwanza mwanaume yupi? Obvious ni yule aliyeanza nae maisha..
Kisha anakimbilia kugongwa hovyo na waliomzidi kipato..
Kifupi anakuwa malaya aliyechangamka..
Na bado ataendelea kutegemea apewe japo ana kipato chake..
Mwanaume kuwa na kipato na kuongeza wanawake haiwanyimi mkate wale wa awali tofauti na ninyi.
Jadda unaposema unanivumilia ilihali mimi ndio provider wa kila kitu unakuwa na maana gani?Kwanza kabisa suala la kujiweka mbali na mtu uliyeanza naye maisha halipo kwa wanawake tu tena wanaume nadhani ndio mabingwa wa hilo wanawake wakasome, mwanamke anakuvumilia from scratch halafu ukipata pesa unamuacha au unachepuka na wale ambao unaona ndio type yako na unawahonga hela ambazo hawajui uchungu wake, hoja yangu ni kwamba wote wawili wanapopata pesa mwanaume kipaumbele chake ni wanawake ila mwanamke kipaumbele chake siyo wanaume mwanamke kamwe hawezi kuwasahau watoto, wazazi, ndugu na jamaa ila mwanaume yuko radhi wazazi wake waishi maisha ya tabu kijijini ila yeye ahonge
🤣🤣🤣🤣Acheni somjo nyie bwanaSi ndo hapo. Unaoa , unazaa watoto kibao na huna juhudi zozote halafu utegemee maendeleo, hakuna kitu kama hicho. Mafanikio ni juhudi, plus nidhamu ya pesa.
Unaposema mwanamke anakuvumilia from the scarch una maana gani, Huyo mwanamke anayevumilia yeye anakua ana ubora gani hadi ionekane kuanza chini na mwanaume asiye na hela hastahili ila anafanya favour ya kuvumilia tuu? Unakuta kwenye mahusiano haukua na mchango wowote + kuwa na multiple r/ship, jamaa kajipata kakupiga chini unaanza kulalamika eti ulimvumiliaKwanza kabisa suala la kujiweka mbali na mtu uliyeanza naye maisha halipo kwa wanawake tu tena wanaume nadhani ndio mabingwa wa hilo wanawake wakasome, mwanamke anakuvumilia from scratch halafu ukipata pesa unamuacha au unachepuka na wale ambao unaona ndio type yako na unawahonga hela ambazo hawajui uchungu wake, hoja yangu ni kwamba wote wawili wanapopata pesa mwanaume kipaumbele chake ni wanawake ila mwanamke kipaumbele chake siyo wanaume mwanamke kamwe hawezi kuwasahau watoto, wazazi, ndugu na jamaa ila mwanaume yuko radhi wazazi wake waishi maisha ya tabu kijijini ila yeye ahonge
Kwanza kabisa suala la kujiweka mbali na mtu uliyeanza naye maisha halipo kwa wanawake tu tena wanaume nadhani ndio mabingwa wa hilo wanawake wakasome, mwanamke anakuvumilia from scratch halafu ukipata pesa unamuacha au unachepuka na wale ambao unaona ndio type yako na unawahonga hela ambazo hawajui uchungu wake, hoja yangu ni kwamba wote wawili wanapopata pesa mwanaume kipaumbele chake ni wanawake ila mwanamke kipaumbele chake siyo wanaume mwanamke kamwe hawezi kuwasahau watoto, wazazi, ndugu na jamaa ila mwanaume yuko radhi wazazi wake waishi maisha ya tabu kijijini ila yeye ahonge