Kuna delutional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio

Huo Uhuru mnaoudai wengine wameishia kubaya

wengi hujikuta katika starehe ambazo zinawaletea hata ukilema, ulevi kupindukia, maradhi coz Ile jeuri ya kuwa mwenyewe wala hupangiwi cha kufanya ndio hupotea,

Tuwekane Sawa
Mnapingandoa au mnapinga kuishi na mwanamke?
Tunapinga ndoa!! Yaani kusimamiwa na kusainishwa mkataba ambao hata hao wanaojifanya kuwa washauri wenu hawatakusaidia wakati utakapokuwa unanyongwa na vifungu vilivyomo ndani ya hiyo mikataba..
Ushauri mdogo kwa wadogo zangu wa kiume..
Elewana na binti mlipie mahari kiasi tu..
Kisha muanze maisha pamoja usifunge ndoa yaani hakikisha kile cheti hakikuhusu kabisa mkuu..
Maana hawa watu pale mahakamani wanavibebelea sana kama wanafunzi wa chuo wenye magamba yao wakiwa vetting.
Ikikupendeza ichukue itumie..
Jifunze kucheza rafu na wewe uwe muhuni yaani mpaka mtaani ufahamike kuwa ni muhuni haswa!!!
Usikubali kuitwa mstaarabu na jamii yako linapokuja suala la mahusiano..
Waache wanawake wawe wanapeana habari kuwa hufai kabisa..
Focus kwenye maisha yako..
Ukipata binti mzuri yaani ile sana tongoza tu akikataa endelea na safari yako.. Hukuzaliwa kwaajili yake mpaka uwekeze miezi na miaka kumfukuzia yeye..
Akikubali kula non-stop hamishia kwako kabisa aanze kupika na kufua ili ujue kama anaweza kukadiria kiasi cha mafuta na chumvi kwenye mboga..
KAma anajua basi endelea kujilia mema ya nchi kwao wakianza nyimbo za ndoa..
Nenda kawakate kilimi kwa kulipa mahari ambayo isiwe kubwa sana kihivyo pia.
Kisha rudi endelea kula maisha..
Hakuna cha shehe wala mchungaji na paroko kwenye maisha yangu..
Maana nao huleta ukaribu na familia yako baadae wanamtafuna mkeo hao hao na kuanza kuvujisha siri zako zilizopo kwa mkeo..
Ishi maisha yako men,, Usipangiwe maisha na watu waliofeli ya kwao..
Mikataba pekee tunayosaini ni ile ya kazi na Biashara tu mingine hiyo siitambui..
Ishini humu najua watakuja walioyabanyanga huko kwenye maisha yao lakini wanangu msipoteze msimamo kizembe hivyo..
 
Acheni kabisa kuoa, kwanini muoe halafu muishi kwa machale ilihali ndoa haina uhuhimu wowote kwenu, msioe ili muishi maisha yenu kwa raha
Kwani Jadda mimi kuishi na wewe ni lazima nikuoe?? Yaani nisaini mkataba kuwa nitakuwa submissive kwako?

Mi nadhani uwezo wa kujihudumia na kukuhudumia Jadda utoshe tu kutuweka pamoja

Sio mpaka nikuoe.
Na naposema kukuhudumia namaanisha zile essential needs tu no going extra miles to please Jadda
 
Jamani tulishajadili hapa. Tumetoa ridhaa kwenu MSIOE!!!! Yaani msioe kabisa; kuleni mkisaza acheni…

Mbona mnafanya kama mnalazimishwa kuoa…wewe mbaba mtu mzima umefanya maamuzi yako unahitaji na sisi tena tukusaidie kuyasimamia??
 
Acheni kabisa kuoa, kwanini muoe halafu muishi kwa machale ilihali ndoa haina uhuhimu wowote kwenu, msioe ili muishi maisha yenu kwa raha
Yani umemaliza. Wasioeeee yaani
 
Kwani Jadda mimi kuishi na wewe ni lazima nikuoe?? Yaani nisaini mkataba kuwa nitakuwa submissive kwako?

Mi nadhani uwezo wa kujihudumia na kukuhudumia Jadda utoshe tu kutuweka pamoja

Sio mpaka nikuoe.
Na naposema kukuhudumia namaanisha zile essential needs tu no going extra miles to please Jadda
Sasa kwanini msifanye hivyo, mbona bado mnafunga zile ndoa zinazotambulika kidini na kisheria, yani hoja yangu ni kwamba kama mnayajua hayo yote kwanini bado mnaingia kwenye ndoa
 
Rekebisha basi hapo sio tunaingia sema baadhi wanaingia mimi siwezi kuingia kwenye ndoa kamwe na sijawahi hata itokee nini
Nazijua kanuni za mchezo so naucheza accordingly Jadda
 
Hizo points zote mtu makini na aliye serious na maisha anaweza kuzifanya hata akiwa single.

kama hivyo vitu kuvifanya ni mpka uoe basi utakuwa una tatizo mahali. Na unaingia nalo kwenye ndoa.
😄😄 Yan nikiona mtu anasema akioa ndo ataweza kuieshimu pesa huwa nachekaga sana nakuamin hapa duniani tuko tofauti sana naicho kinaniamisha mm ni kijana wa tofauti sana na lazima nitakuja kuwa tajiri one day.coz asilimia kubwa ya vijana wa bongo wanategemea msaada wa mwanamke kuja kuwafundisha nidhamu ya fedha.
 
Rekebisha basi hapo sio tunaingia sema baadhi wanaingia mimi siwezi kuingia kwenye ndoa kamwe na sijawahi hata itokee nini
Nazijua kanuni za mchezo so naucheza accordingly Jadda
Sasa unataka tuache kuuongelea uhalisia tukuongelee wewe
 
Kwani mabadiliko yanaanza na watu wangapi?
Si ni mtu mmoja mmoja?
Jadda unataka niingie kwenye ndoa wakati mnufaika mkubwa ni wewe? Tunachukua uelekeo mpya kimya kimya bila kuieleza dunia azma yetu
Ndio maana ndoa zinapungua kwa kasi kuliko ile sogea tuishi..
 
Dooh kwahiyo unadhani itafika kipindi wanaume wote wataacha kabisa kuoa, na unadhani wakati huo wanawake nao bado watakuwa wanazihitaji ndoa kama sasa, anyway till then basi bado tutaendelea kuamini kwamba wanaume wanazihitaji ndoa ndio maana bado wanaoa
 
Unachanganya mambo kati ya ndoa na kuishi pamoja na ndio maana watu huwa wanakupuuza.
Level ya kuelewa mada kwako inatia mashaka kidogo kumbuka sisi hatuwapingi ninyi bali tunapinga tabia zenu za kinyama..
Sasa unaposema kuwa kwa baadae wanawake hawatazihitaji ndoa..hapo unamkomoa nani??
Unadhani kuwa mwanamke atabadilisha mindset yake na kuwa provider kabisa??
Then if so ni vizuri maana atakuwa anajitegemea kitu ambacho kitaleta unafuu kwa jinsia me na vipi kuhusu mambo ya talaka maanake hazitakuwepo maana ndoa hazifungwi tunaishi by mutual agreements tu..
Hata hapa unaonyesha kuwa haupo tayari hii ndoa ifutike maana mnufaika mkubwa unamfahamu vizuri..
 
Hilo swali la kuhusu kumkomoa nani nafikiri mlitakiwa mjiulize ninyi wanaume na kauli yenu ya sizitaki mbichi hizi ya "kataa ndoa ni utapeli" halafu kwanza ni tabia zipi hizo za wanawake mnazozipinga ambazo zinapatikana kwenye ndoa tu na siyo kwenye "kuishi pamoja", hivi umeshawahi kusikia ule msemo kwamba "kadiri mwanaume anavyopata pesa ndivyo anavyotamani kuwa na wanawake wengi ila kadiri mwanamke anavyopata pesa ndivyo amavyotamani kujiweka mbali na wanaume", katika mahali ambapo mlijichanganya ni kukubali wanawake watafute pesa na wajiweze kiuchumi na kama mnadhani hilo ndilo litakuwa nafuu kwenu basi niwape pole maana hata sasa tu alama za nyakati zinaonesha chanzo cha wanawake wengi kuanza kukataa ndoa mnazozihitaji ni kipi na huko tunakoelekea sijui ndio hali itakuwaje asee
 
Kwanini akipata pesa anajiweka mbali na mwanaume?? Kwanza mwanaume yupi? Obvious ni yule aliyeanza nae maisha..
Kisha anakimbilia kugongwa hovyo na waliomzidi kipato..
Kifupi anakuwa malaya aliyechangamka..
Na bado ataendelea kutegemea apewe japo ana kipato chake..
Mwanaume kuwa na kipato na kuongeza wanawake haiwanyimi mkate wale wa awali tofauti na ninyi.
 
Kwanza kabisa suala la kujiweka mbali na mtu uliyeanza naye maisha halipo kwa wanawake tu tena wanaume nadhani ndio mabingwa wa hilo wanawake wakasome, mwanamke anakuvumilia from scratch halafu ukipata pesa unamuacha au unachepuka na wale ambao unaona ndio type yako na unawahonga hela ambazo hawajui uchungu wake, hoja yangu ni kwamba wote wawili wanapopata pesa mwanaume kipaumbele chake ni wanawake ila mwanamke kipaumbele chake siyo wanaume mwanamke kamwe hawezi kuwasahau watoto, wazazi, ndugu na jamaa ila mwanaume yuko radhi wazazi wake waishi maisha ya tabu kijijini ila yeye ahonge
 
Jadda unaposema unanivumilia ilihali mimi ndio provider wa kila kitu unakuwa na maana gani?
 
Si ndo hapo. Unaoa , unazaa watoto kibao na huna juhudi zozote halafu utegemee maendeleo, hakuna kitu kama hicho. Mafanikio ni juhudi, plus nidhamu ya pesa.
🤣🤣🤣🤣Acheni somjo nyie bwana
Nionyeshe familia yako nikuambie kwa nini una mafanikio.
Wapo wandu kibao najuhudi lakini ngoma nagu
 
Kwanza kabisa suala la kujiweka mbali na mtu uliyeanza naye maisha halipo kwa wanawake tu tena wanaume nadhani ndio mabingwa wa hilo wanawake wakasome, mwanamke anakuvumilia from scratch halafu ukipata pesa unamuacha au unachepuka na wale ambao unaona ndio type yako na unawahonga hela ambazo hawajui uchungu wake, hoja yangu ni kwamba wote wawili wanapopata pesa mwanaume kipaumbele chake ni wanawake ila mwanamke kipaumbele chake siyo wanaume mwanamke kamwe hawezi kuwasahau watoto, wazazi, ndugu na jamaa ila mwanaume yuko radhi wazazi wake waishi maisha ya tabu kijijini ila yeye ahonge
Unaposema mwanamke anakuvumilia from the scarch una maana gani, Huyo mwanamke anayevumilia yeye anakua ana ubora gani hadi ionekane kuanza chini na mwanaume asiye na hela hastahili ila anafanya favour ya kuvumilia tuu? Unakuta kwenye mahusiano haukua na mchango wowote + kuwa na multiple r/ship, jamaa kajipata kakupiga chini unaanza kulalamika eti ulimvumilia

Hakuna mwanaume anayeweza muacha mwanamke aliye na mapenzi ya dhati, wengi wenu mnafanya makosa afu mnajisahau baadaye mambo ya kivurugika mnaanza kulia lia
 
Kwanza kabisa suala la kujiweka mbali na mtu uliyeanza naye maisha halipo kwa wanawake tu tena wanaume nadhani ndio mabingwa wa hilo wanawake wakasome, mwanamke anakuvumilia from scratch halafu ukipata pesa unamuacha au unachepuka na wale ambao unaona ndio type yako na unawahonga hela ambazo hawajui uchungu wake, hoja yangu ni kwamba wote wawili wanapopata pesa mwanaume kipaumbele chake ni wanawake ila mwanamke kipaumbele chake siyo wanaume mwanamke kamwe hawezi kuwasahau watoto, wazazi, ndugu na jamaa ila mwanaume yuko radhi wazazi wake waishi maisha ya tabu kijijini ila yeye ahonge

Sasa kama umeolewa na hauchangii chochote kwenye familia yako, itakua ajabu gani kuwasaidia wazazi au ndugu zako? Hivi unafikri wanaume huwa wanasahau kuwajali wazazi wao kama mnavojidanganya? Tena unaweza kuta hizo hela unazowatumia wazazi wako zinatoka kwa mume wako.
 
Back
Top Bottom