Kuna design wife kama anafanya mambo ya hovyo hivi au na wake zenu pia wapo hivo

Acha upuuzi, mtoto hata akiwa narungombe bado ni wa kwako, Mruhusu akapumzike
 
Nakataa,

Mwanamke anaweza kukuacha na kwenda kuolewa na mwanaume mwingine na ikawa historia, lakini mwanao ni wako tu hadi kiama, haiwezi kuwa eti baada ya muda fulani ni mtoto wa fulani labda uwe ulibambikiwa.
Damu haitengwi au kukataliwa.
Ila kila mmoja ana majukumu ya Asili
Hivyo anaweza kuolewa kwingine
Ila hawezi kumgawa mtoto wako kwa mwingine.

Atarudi tu, mwache aende bila hivyo kusingekuwa na kesi za single mother kupasha kiporo
 
Kwangu mwanamke kama hana akili abaki kukalia matako yake na na sura, hata kumtomber siwezi
Hahahahah kwahyo bora mwenye akili asiye na suranzuri wala tako....kuliko liparata lenye tako na lenye mvuto
 
Rule no.1
Tatua shida za mwanamke ila hakikisha hajui una fedha kiasi gani ama unaingiza kiwango gani cha hela katika mishe zako.

Rule no.2
Siku zote Amiri jeshi ni mmoja tu mjengoni, unapo toa order lazima ziheshimiwe no discussion. Kama umesema hapana juu ya jambo flani simamia msimamo wako, atanuna atafyum ila hizo sio shida zako usiyumbe. Atazoea mikazo tu mwisho wa siku huyo ni mke na control yake ni wewe sio vice versa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…