Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka baruti huku nyuma mke akafanywa mboga akabakwa mbele ya watoto ni huzuni sana faida iko wapi kujinasibu mume au baba ikiwa unashindwa ku-guard na ku-protect familia yako kama mwanaume!
Alienda kuita watu wamsaidie Jamani
 
Usafir gani alikuwa nao? Huyu ana makosa mengi sana 1 kusherehekea mwaka mpya usiku bila tahadhar, 2 kutoka na familia usiku, 3 kutotumia usafir wake ipasavyo, 4 kutokujua mazingira anayoenda usiku Yako vipi na nini kinaweza tokea, 5 kutokuwa na silaha hata kama ni nondo, panga nk kwani ktk gar hizo ni silaha unazowezazibeba bila shida nazikakusaidia hasa usiku. Nk tahadhar kutoka usiku isipokuwa kwenda sehemu za Ibada zilizo salama, Baki huko mpaka asubuhi, au unaenda hospitali lkn elewa lolote laweza tokea chukua tahadhar, mwisho kabisa pambana Hadi kufa kwa ajili ya Mali Yako au familia yako kwani kufa ktk kutetea Mali na heshima ( familia) ni shahada.
Fala sana hata wheel spana ingetosha basi ukikosa trai engo!
 
Tangu mwanzo umesema kweli laki hapo mwishoni; eti:...........pambana Hadi kufa kwa ajili ya Mali Yako au familia yako kwani kufa ktk kutetea Mali na heshima ( familia) ni shahada.
Haikubaliki. Ukiwa hai, Mali utatafuta zingine, Mke utaoa mwingiie. Heshima haitokani na mtu Kufa bali ni kwa matendo yake mema kwa binadamu wenzake.
Shahada ni kitu gani? Fafanua kidogo mkuu.
Miongoni mwa matendo mema ni kufa ukitetea dhulma na hakuna dhulma kubwa kama kudhalilishwa familia yako, niko sawa mwanzo Hadi mwisho kama hutaki kuelewa ni wewe, kwa Mimi kifo lipo lkn nitakapokufa huku nikitetea familia yangu napata ujira na malipo kwa Allah na haya ni kwa wenye kuamini kama huamini hutaelewa ndugu.
 
Kwa hiyo ulitakaje mkuu,ulitaka na yeye aliwe kiboga au ashuhudie mkewe akiliwa kiboga, halafu linapokuja swala la vibaka maana yake wana silaha za jadi halafu unakuta wapo wengi,hata ukisema upambane nao ni ngumu sana kutoka salama.
Kwahiyo na wewe ungefanya kama alivyofanya jamaa?.
 
Alijiuliza swali, bora afe amuache mke ale starehe na wengine au akimbie wote waendelee kuwa wazima?
Nakazia hoja. Eti "Mke wako" Ulimuanza wewe (kufungua njia)au ulimkuta tayari wajanja wesha fanya yao? Halafu na wewe mbona unakulaga Tunda kimasihara?, Je, huoni hiyo ni ngoma droo? Bora wote muendelee kuwa wazima.Tukio litasahaulika muda sio mrefu. Halafu tukio wameliona watu say 15 (kumi na tano) waliokuwepo jirani na hapo kati ya watu 65m population ya Tz. Watu 15 ni insignificant amount kuweza kuhalalisha (justify)mtu akubali afe.
 
Miongoni mwa matendo mema ni kufa ukitetea dhulma na hakuna dhulma kubwa kama kudhalilishwa familia yako, niko sawa mwanzo Hadi mwisho kama hutaki kuelewa ni wewe, kwa Mimi kifo lipo lkn nitakapokufa huku nikitetea familia yangu napata ujira na malipo kwa Allah na haya ni kwa wenye kuamini kama huamini hutaelewa ndugu.
Unakufa mkeo naoa utakua umesaidia nn?
 
Humu kuna kauli za kishujaa kibao ila ndio wale wale. Naungana na wadau kuhusu kufanya mazoezi ila pia kua aware wakati unapokuwa sehem ambayo sio ndani kwako.
 
Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka baruti huku nyuma mke akafanywa mboga akabakwa mbele ya watoto ni huzuni sana faida iko wapi kujinasibu mume au baba ikiwa unashindwa ku-guard na ku-protect familia yako kama mwanaume!
Daah so painful mwaka huu nitaenda Kigoma kuchanja dawa (Kidono) ya Panga na Risasi. Kukaa kizembe bila hata self defence ni ujinga.
 
Humu kuna kauli za kishujaa kibao ila ndio wale wale. Naungana na wadau kuhusu kufanya mazoezi ila pia kua aware wakati unapokuwa sehem ambayo sio ndani kwako.
Mmhhh! Hizo kauli za kishujaa ni kauli za "Keyboard Warriors". Hakuna "usiriasnesi" wowote hapo.
 
Back
Top Bottom