Usafir gani alikuwa nao? Huyu ana makosa mengi sana 1 kusherehekea mwaka mpya usiku bila tahadhar, 2 kutoka na familia usiku, 3 kutotumia usafir wake ipasavyo, 4 kutokujua mazingira anayoenda usiku Yako vipi na nini kinaweza tokea, 5 kutokuwa na silaha hata kama ni nondo, panga nk kwani ktk gar hizo ni silaha unazowezazibeba bila shida nazikakusaidia hasa usiku. Nk tahadhar kutoka usiku isipokuwa kwenda sehemu za Ibada zilizo salama, Baki huko mpaka asubuhi, au unaenda hospitali lkn elewa lolote laweza tokea chukua tahadhar, mwisho kabisa pambana Hadi kufa kwa ajili ya Mali Yako au familia yako kwani kufa ktk kutetea Mali na heshima ( familia) ni shahada.