vipi kama angeliwa na yeye pia, hilo gazeti lingeandika nini?Sina uhakika wa tukio ila jamaa alipaswa kufia hapo
Alichofanya kukimbia ni kosa ambalo halitatibika maisha yote hapo ilikuwa kesho isomeke "mme auawa akipambana kulinda familia yake"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi kama angeliwa na yeye pia, hilo gazeti lingeandika nini?Sina uhakika wa tukio ila jamaa alipaswa kufia hapo
Alichofanya kukimbia ni kosa ambalo halitatibika maisha yote hapo ilikuwa kesho isomeke "mme auawa akipambana kulinda familia yake"
kwahiyo wewe kwa mtazamo wako unaamini kuliwa kiboga mbele ya watoto wako ni ushujaa, sio?Nini maana ya kuishi sasa kama umekimbia jukumu la msingi
Kwamba mwanaume awe kiongozi wa mwanamke
😹😹😹Ingawa umeongea kwa code kali sana. Nikupe pole mkuu, mungu atakulipizia, lazima haki yako ipatikane
Umeelewa Nini niliposema "kufia"!?vipi kama angeliwa na yeye pia, hilo gazeti lingeandika nini?
KIla kitu ni kama!Jamaa kakiepusha kiboga chake kuliwa 😹😹
Hao vibaka atakuwa anafahamiana nao, na alijua kitakachotokea usikute katembea na mke wa mtu wenye mke walimfata..!!
Watu Kama hawa wanaachwaje kwenye hili jukwaa unakuta Wewe ni mwanaume ila umeamua kufanya hivi kutaka attention tu.Kubakwa muda mwingine kuna raha yake. Hasa kama mumeo ni "kimoja chali"
Kwahio we unakubali kuliwa kiboga?kwahiyo wewe kwa mtazamo wako unaamini kuliwa kiboga mbele ya watoto wako ni ushujaa, sio?
achana na filamu za Jet Li, yale ni maigizo tuUmeelewa Nini niliposema "kufia"!?
Hata watu wakiwa wengi vipi na nguvu vipi wakitaka kudhuru familia Yako ukiwepo hakikisha wamekuua kwanza wewe kabla hawajafikia familia
Namaanisha pigana haswa!!!
unadhani ukifa icho kiboga hakiliki?, kukimbia ili kunusuru kiboga ni bora kuliko kufa kakaaKwahio we unakubali kuliwa kiboga?
Mbona inajulikana kwamba bora uuwawe ukilinda tundu
Sasa ukifa kuna nini kipya si ndo mana unatoka na waduduunadhani ukifa icho kiboga hakiliki?, kukimbia ili kunusuru kiboga ni bora kuliko kufa kakaa
Nafikiri tuanzie kwenye tahadhar barabarani.Sina uhakika wa tukio ila jamaa alipaswa kufia hapo
Alichofanya kukimbia ni kosa ambalo halitatibika maisha yote hapo ilikuwa kesho isomeke "mme auawa akipambana kulinda familia yake"
Tatizo sio mazoezi, sababu hayatosaidia kujilinda wewe na familia yako in real life kwenye situation kama hiyo.Sasa mwanaume ana miaka nenda rudi hata kufanya mazoezi ya kujiweka sawa hajawahi ye ni wa kuamka. kula , kwenda kazini akirudi kalala.
Hapo unadhania akikutana na situation kama hiyo atafanyaje? Zaidi ya kutimua mbio.
Ujumbe kwenu Me fanyeni mazoezi na kwenye hizo gari zenu msikose zana za jadi ambazo mwisho wa siku zinaweza kuwaepusha na aibu kama hizo.
Wewe uko tayari kuharibiwa maisha ya familia yako sababu unaogopa ukikaza watakuua? Hao mbwa hata ukiwapa kila kitu bado lazima wakuharibie familia. Hakuna maana ya kuishi kama baba kama unaogopa kufa kwa ajili ya familia yako. Sababu hao mbwa wakimaliza uchafu wao hautokuwa na sababu ya kuishi na dunia utaiona jehannamu.Mnaozoza wanaume hawafanyi mazoezi naona hayajawakuta muombeni Mungu aepushie mbali la sivyo ndo mtakuja elewa, mi yashanikuta tupo wawili vibaka wapo sita kila mmoja wao ana panga nambie hapo zoezi gani utalitumia kuwakabili
Hizo movie zisiwadanganye hayo ni maigizo tu siku ukitaitiwa ndo utaelewa
Kibaka hana hasara hakujui humjui kukutoa roho ni jambo rahisi kwake, siku zote vibaka ni wana njaa we wape kama ni hela au simu wanakuacha lakini ukikaza au kukimbia kama huyo jamaa unachikiacha either wakiharibu au kama ndo mke wambake hawakubali kutoka kapa,
halafu wanatabia ya kutembea kwa makundi watakuvamia sita kumbe wengine wapo pembeni wanachora
Dawa ya hawa wadudu ni chuma tu ukimlamba mmoja hakuna atayebaki
Wee ukiwa unabakwa mkeo atakusaidia? Kila mtu apambane kivyake mwanawaneKumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka baruti huku nyuma mke akafanywa mboga akabakwa mbele ya watoto ni huzuni sana faida iko wapi kujinasibu mume au baba ikiwa unashindwa ku-guard na ku-protect familia yako kama mwanaume!
Hayo magogo wanaweka saa ngapi ulipotoka? As long as mtu ameshasikia mikasa ya magogo basi moja kwa moja solution anajua ni kwenda full reverse.Watekaji wanaoweka magogo barabarani ukiwa na gari ni ngumu sana kuwatoka wakati we umekutana na suprise ya magogo ndo hapohapo wanavamia na kuanza kuvunja vioo, kuwatoka labda ushtukie mapema