Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Kuna faida gani kuitwa Mume au baba mkivamiwa na vibaka unawacha mke anabakwa mbele ya watoto!

Sina uhakika wa tukio ila jamaa alipaswa kufia hapo
Alichofanya kukimbia ni kosa ambalo halitatibika maisha yote hapo ilikuwa kesho isomeke "mme auawa akipambana kulinda familia yake"
vipi kama angeliwa na yeye pia, hilo gazeti lingeandika nini?
 
vipi kama angeliwa na yeye pia, hilo gazeti lingeandika nini?
Umeelewa Nini niliposema "kufia"!?
Hata watu wakiwa wengi vipi na nguvu vipi wakitaka kudhuru familia Yako ukiwepo hakikisha wamekuua kwanza wewe kabla hawajafikia familia
Namaanisha pigana haswa!!!
 
Wanawake kauli ya Haki sawa kwa wote ikanusheni, kuna namna haiko sawa
 
Jamaa kakiepusha kiboga chake kuliwa 😹😹

Hao vibaka atakuwa anafahamiana nao, na alijua kitakachotokea usikute katembea na mke wa mtu wenye mke walimfata..!!
 
Jamaa kakiepusha kiboga chake kuliwa 😹😹

Hao vibaka atakuwa anafahamiana nao, na alijua kitakachotokea usikute katembea na mke wa mtu wenye mke walimfata..!!
KIla kitu ni kama!
 
Umeelewa Nini niliposema "kufia"!?
Hata watu wakiwa wengi vipi na nguvu vipi wakitaka kudhuru familia Yako ukiwepo hakikisha wamekuua kwanza wewe kabla hawajafikia familia
Namaanisha pigana haswa!!!
achana na filamu za Jet Li, yale ni maigizo tu
 
Sina uhakika wa tukio ila jamaa alipaswa kufia hapo
Alichofanya kukimbia ni kosa ambalo halitatibika maisha yote hapo ilikuwa kesho isomeke "mme auawa akipambana kulinda familia yake"
Nafikiri tuanzie kwenye tahadhar barabarani.

Alipashwa aokoe familia yote.. arudi reverse kwa kasi, ama aanze kuwakanyaga majamaa, awe na manati ya mzungu awawashie.

Mimi nikiwa na usafiri mashine lazima niwe nayo
 
Sasa mwanaume ana miaka nenda rudi hata kufanya mazoezi ya kujiweka sawa hajawahi ye ni wa kuamka. kula , kwenda kazini akirudi kalala.

Hapo unadhania akikutana na situation kama hiyo atafanyaje? Zaidi ya kutimua mbio.

Ujumbe kwenu Me fanyeni mazoezi na kwenye hizo gari zenu msikose zana za jadi ambazo mwisho wa siku zinaweza kuwaepusha na aibu kama hizo.
Tatizo sio mazoezi, sababu hayatosaidia kujilinda wewe na familia yako in real life kwenye situation kama hiyo.

Tatizo ni kwamba watu wengi wamekosa roho ngumu za kiume na ujasiri. Watu wamekuwa too soft na emotional, au naweza sema baadhi ya watu ni dhaifu tu kiasili. Mimi ningehakikisha wananiua kabla ya kuidhuru familia yangu. Lakini kabla ya hapo wangekula tairi za gari. Ningewakanyaga wakiwa hai.
 
Youtube kuna video clips nyingi sana za mikasa ya magari na wezi au majambazi sababu wenzetu wengi wanakuwa na dashcam, I think ni mandatory. Kuna clip moja American mmoja na wenzake walikutana na mbwa kama hao wenye panga huko Kenya, badala yake mwamba akaweka full thrust mbele na kukanyaga mmoja wao, wale wengine wakaa pembeni wenyewe huku jamaa anatoka kibati. Zero fucks given. Nitaweka hapa jina la ile channel.

Yaani ukikutana na situation kama hii either ni full thrust mbele au nyuma, no hesitation, just act na wakikaa vizuri unawakanyaga, unageuza ukiwa mbali sababu hawana mbio za kukimbiza gari especially wakijua sio muoga. Kila alikuwa anarudia maneno hayohayo kwenye comments. Na watu wengi hasa Waafrica wanashindwa tambua kwamba gari yenyewe ni chuma la tani 2 linalotembea, ni silaha tosha na hatari sana dhidi ya kima yoyote na hatothubutu kuwa karibu as long as lipo in motion.

Ila naweza sema kiasili Watanzania na labda kwa Waafrica kiujumla ni waoga. Na huyo jamaa ni mbwa asiyefaa kuwa mwanaume wala baba kwa watoto wake. Ona sasa familia yake imeharibika.
 
Kuna tukio jingine kama hilo huko mikoani, dogo mmoja wa kike wa kishua alikuwa anaelezea siku wanasafiri usiku kutoka shamba baada ya mzee wao kudhani atawahi mjini, sikumbuki vizuri ila nadhani nayo ilikuwa sikukuu.

Kwamba walikutana na gogo barabarani na washenzi wenye silaha wakatokea, mzee wao akasimamisha gari. (Sipendi watu dhaifu kwa kigezo cha kupenda amani, waliokosa ego, hasira na wanaoogopa conflicts, fujo na vita. I fuking hate victims. Pambana kufa lakini usikubali kuwa victim, ni mbaya zaidi ya kifo, that's why wajapan wana-commit seppuku kwa kujichoma kisu na kukata utumbo kama wameshindwa, lakini hawatokubali kuwa victims.)
Akashuka yeye na familia yake, akiwemo huyo dogo. Yule mzee akajaribu kuwa peaceful kwamba wachukue gari na kila kitu, lakini haikuwa hivyo. Wale watu sio wa kuongea na kuelewana (That's why napenda ile quote ya "we don't negotiate with terrorists, we fuk them up then send them straight to hell") sometimes hawataki pesa wala gari yako (That's why napenda sana ile quote nyingine kwamba "some men can't be negotiated or reasoned with... some men just want to watch the world burn") kwamba wanataka tu kukuharibia maisha yako na kukuona unateseka sababu kwao ni mchezo wa furaha.

Wale mbwa wakasema wao hawataki chochote, sio gari wala pesa. Then wale jamaa wakapigisha magoti familia nzima kama wanafunzi wa standard 5 waliochelewa namba. Mmoja baada ya mwingine wakaitwa mbele, walianza watoto, wanainamishwa mbele ya gari alafu wale mbwa wanapita kwa zamu. Huku yule mzee analazimishwa kuangalia jinsi familia yake inavyodharirishwa na kuteketea huku akilia kama mtoto mdogo pamoja na mkewe na watoto wake. Watoto wakaisha, akafatiwa mke, akapitiwa kwa zamu, watoto na baba wakilazimishwa kuangalia. Na mwishoni kabisa, the even worst part of that nightmare. Ikafika zamu ya baba. Watoto na mke wakalazimishwa kumuangalia baba yao vilevile akipitiwa kwa zamu. Baada ya hapo akalazimishwa kumuingilia na binti yake wa kike. Lakini alishindwa kufanya hivyo. (Yeah, kuna mashetani hapa duniani yanaotakiwa kukatwa vichwa hadharani, naona tabu hata kuandika huu uchafu)

Wale wasenge walioolaniwa walivyomaliza kazi yao karibu na alfajiri wakawaacha kama walivyowakuta na vitu vyao vyote waondoke, isipokuwa walichukua vitu muhimu sana, navyo ni Utu wao na uanaume wa yule mtu mzima. Anasema walikaa kimya kipindi chote wapo ndani ya gari. Familia na heshima yote vilifutika hata kuigiza haikuwezekana. Hawakusema kwa mtu yoyote. Baada ya miezi kadhaa kupita baba akajitoa uhai kwa kujipiga risasi sababu ya msongo wa mawazo. Mke akafa kwa presha baada ya kifo cha mume, na kubaki dogo na wenzake. Huyo dogo alikuwa analia muda wote anahadithia hiyo experience mbaya ambayo ni sawa na nightmare. Inasikitisha.

Na hiyo ndiyo sababu usisimame wala kusita ukikutana na hao wanyama barabarani, kumbukuka full thrust mbele, wakisimama kati kanyaga. Kama mbele kuna kizuizi basi full thrust nyuma ulikotoka, nenda kageuze mbali sana. Usithubutu kupiga U-turn hapohapo. Na ndani ya muda huo hawatakuwa na uwezo wa kuweka vizuizi nyuma vilivyo vizito zaidi ya kuzuia gari in full throttle. Cha muhimu zaidi ni kuepuka safari za usiku za mbali au kiujumla, especially na familia.

Adios!
 
Mnaozoza wanaume hawafanyi mazoezi naona hayajawakuta muombeni Mungu aepushie mbali la sivyo ndo mtakuja elewa, mi yashanikuta tupo wawili vibaka wapo sita kila mmoja wao ana panga nambie hapo zoezi gani utalitumia kuwakabili
Hizo movie zisiwadanganye hayo ni maigizo tu siku ukitaitiwa ndo utaelewa
Kibaka hana hasara hakujui humjui kukutoa roho ni jambo rahisi kwake, siku zote vibaka ni wana njaa we wape kama ni hela au simu wanakuacha lakini ukikaza au kukimbia kama huyo jamaa unachikiacha either wakiharibu au kama ndo mke wambake hawakubali kutoka kapa,
halafu wanatabia ya kutembea kwa makundi watakuvamia sita kumbe wengine wapo pembeni wanachora
Dawa ya hawa wadudu ni chuma tu ukimlamba mmoja hakuna atayebaki
Wewe uko tayari kuharibiwa maisha ya familia yako sababu unaogopa ukikaza watakuua? Hao mbwa hata ukiwapa kila kitu bado lazima wakuharibie familia. Hakuna maana ya kuishi kama baba kama unaogopa kufa kwa ajili ya familia yako. Sababu hao mbwa wakimaliza uchafu wao hautokuwa na sababu ya kuishi na dunia utaiona jehannamu.
 
Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka baruti huku nyuma mke akafanywa mboga akabakwa mbele ya watoto ni huzuni sana faida iko wapi kujinasibu mume au baba ikiwa unashindwa ku-guard na ku-protect familia yako kama mwanaume!
Wee ukiwa unabakwa mkeo atakusaidia? Kila mtu apambane kivyake mwanawane
 
Watekaji wanaoweka magogo barabarani ukiwa na gari ni ngumu sana kuwatoka wakati we umekutana na suprise ya magogo ndo hapohapo wanavamia na kuanza kuvunja vioo, kuwatoka labda ushtukie mapema
Hayo magogo wanaweka saa ngapi ulipotoka? As long as mtu ameshasikia mikasa ya magogo basi moja kwa moja solution anajua ni kwenda full reverse.
 
Back
Top Bottom