Kuna faida gani za nchi kuruhusu mataifa kuingia bila VISA?

Na ni jambo hatari sana kwa usalama wa nchi , ndio maana nchi makini nyingi haziwezi kuachia mipaka kiholela namna hii
 
Tatizo siyo hiyo ada ya Visa bali vikwazo vinavyoambatana na upatikanaji wa hiyo Visa.
kufanya vetting kwa watu wanaotaka kuingia nchini ni moja ya process ya kutoa visa , ukiondoa restriction hio ni sawa na kuwa na mfumo wa bank ambao huhitaji password kulogin , wahalifu watahack mfumo na utalia sana
 
Your reasoning capacity yako iko chini below average......nchi kama Tanzania inauwezo wa kuzuia magaidi kuingia wakitaka?, Nani kakuambia kwamba gaidi anahitaji viza kuingia hapa Tanzania?
una elimu ndogo sana ya kiinteligensia acha nisiende sana huko, lakini nikupe mfano mdogo tu , kinachofanya waethiopia kila siku wakamatwe nchini wakiwa wanakatisha kuelekea south ni nin?
Visa ,visa only , unapokua nchini bila visa wewe ni mhalifu , ukiondoa visa maana yake ukimuona mrwanda , msomali na wengine hata kama hawana visa hutakiwi kuwahoji , kwa nini?
ingekua simple hivyo nchi kama marekani zingekua zimeshaondoa , this is a bad move
 
ume analyse kwa akili , wana target wakubalike nje hawana ressource ndani , kwa TZ haitatusaidia , hatuna man power ya ku export nje
 
Ya kwamba magaidi wao ndo watakosa hizo dora 30 za viza?

Au ya kwamba ugaidi una zuiliwa kwa visa? Alafu mbona wasomali wamejaa kila sehemu ya nchi hii na mpaka wengine wana mamlaka makubwa ya kiuongozi ndani ya nchi yako?
ili upate visa ,lazima ubalozi ufanya vetting ,ukiingia nchini bila visa maana yake first layer of security ya vetting unakua umeikwepa , banana republic pekee ndio itaruhusu hii mambo
 
Kuondoa Visa nikuhatarisha usalama wa Taifa
Labda wananjia sahihi ya kufuata ili kulinda usalama wa Taifa
 
Lakini huo ujinga wa mtu mweusi sidhani kama utakuwa unazidi wa kwako unaye dhani kuwa muharifu ana zuiwa na visa.
Wewe akili yako mbovu mbona nyumba yako umeweka milango na kufuri ? Kwani mwizi awezi kuvunja kufuri tumia akili acha kutumia kijambia kufikiri kama sa100 ....sheria mbovu na akili mbovu vinaweza kuzarisha wahalifu hata kwa waliokuwa siyo wahalifu ...kuna sheria au kanuni ambazo zina wavutia wahalifu ....jambazi likifanya ujambazi kenya linakuja kujificha tz kirahisi ...pia masikini wanaweza kuvamia nchi nyingine bila ya mpango na kuwasababishia kugeuka kuwa wahalifu mitaani au kujiusisha na vitendo viovu vingine .
 
gaidi akiomba visa kuna possibility akawa denied
Hao jamaa unao waelimisha ni wapumbavu faida ya viza au mbinu nyingine za kudhibiti mienendo ya watu isiyofaa au yenyekutia shaka ni muhimu kweli kweli
 
Hiyo VISA free utakuta ni kwa wazungu tu, ngozi nyeusi atasumbuliwa tu.
 
Tanzania hatuwezi ruhusu hilo hayo maigizo anayo Ruto na Kagame,
Wanataka wakianza kupigana na drc tshekedi wakimbilie bongo,😂😂tumegoma🙏
 
Wakoloni? Mbona na wao nchi zao zina mipaka! Na wao wanataka kunyonyana? Kwani wao mipaka yao iliwekwa na nani? Sijaielewa hii hoja!
wao mbona Wana free movements,trade n.k huwezi kutoka nchi moja kwenye European Union ukaambiwa mambo ya viza sijui nn
 
wao mbona Wana free movements,trade n.k huwezi kutoka nchi moja kwenye European Union ukaambiwa mambo ya viza sijui nn

Sasa jiulize hapo kuruhusu watu kuingia Kenya bila viza ni kila nchi Afrika imeruhusu? Niambie katika nchi 54 za Africa ni nchi ngapi zimeondoa viza na kuruhusu watu kuingia nchini kwao kiholela?
 
Ameanza PK,sasa Ruto tuwe makini mambo ya kuiga iga hayafai,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…