Kuna faida gani za nchi kuruhusu mataifa kuingia bila VISA?

Kuna faida gani za nchi kuruhusu mataifa kuingia bila VISA?

kufanya vetting kwa watu wanaotaka kuingia nchini ni moja ya process ya kutoa visa , ukiondoa restriction hio ni sawa na kuwa na mfumo wa bank ambao huhitaji password kulogin , wahalifu watahack mfumo na utalia sana
Kwa nchi nyingi Visa ni sehemu ya mapato na wala haihusiani na usalama!
 
Nimekuuliza nchi ya Kenya imeruhusu watu kuingia bila viza, nitajie nchi ngapi zingine katika bara la Afrika lenye nchi 54 zimeruhusu watu kuingia nchini mwao bila viza?
Mtanzania unapotembelea nchi zote za SADC au EAC huhitaji Visa, halikadhalika wanaotoka nchi hizo kuja Tanzania hawahitaji Visa.
 
Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.

Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?

Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?

Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?

Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania
ukifanya hivyo, kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii tutaingiza magaidi nchini.
Kwamba magaidi kukiwa na visa hawaingii!!!??? Sijui umetafakari kabla ya kuanfika!? Anyway...
 
ili upate visa ,lazima ubalozi ufanya vetting ,ukiingia nchini bila visa maana yake first layer of security ya vetting unakua umeikwepa , banana republic pekee ndio itaruhusu hii mambo
Ndo maana nime kuuliza kuwa lini visa ikazuia gaidi?
Kila mwaka maelfu ya raia kutoka nje wanaingia nchini kwa kutumia mipaka isiyo rasimi na wanaishi ndani ya nchi bila vibari vyovyote wakiwemo hao wasomali.

Ukiona hao unao waita magaidi hawaishambulii Tz haimaanishi kuwa hawawezi kufanya hivyo kwa sababu ya visa ,bali ni kwa sababu mashambulizi yao dhidi ya Tz hayana masilahi yeyote kwao na pia Tz hatujawahi kuwachokoza.
 
Wewe akili yako mbovu mbona nyumba yako umeweka milango na kufuri ? Kwani mwizi awezi kuvunja kufuri tumia akili acha kutumia kijambia kufikiri kama sa100 ....sheria mbovu na akili mbovu vinaweza kuzarisha wahalifu hata kwa waliokuwa siyo wahalifu ...kuna sheria au kanuni ambazo zina wavutia wahalifu ....jambazi likifanya ujambazi kenya linakuja kujificha tz kirahisi ...pia masikini wanaweza kuvamia nchi nyingine bila ya mpango na kuwasababishia kugeuka kuwa wahalifu mitaani au kujiusisha na nitendo viovu vingine .
Lugha yako uliyo itumia hapo linakudhihirisha ww ni mtu gani.

Hivi hiyo visa ina saidiaje kudhibiti uharifu kwa nchi kama Tz ambayo kila mwaka watu kutoka nchi jirani wanaingia na kutoka kiholela kupitia mipaka isio rasimi na wengine wanaishi kabisa tena bila kubugudhiwa na mamlaka?

Visa ipo kisheria lakini kusema eti visa ndo ina ifanya Tz kuwa salama ni hoja ya kipumbavu.
Hao magaidi hawana muda na Tz kwa sababu hawana maslahi yeyote ya kutushambulia na pia hatujawahi kuwachokoza.
 
Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.

Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?

Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?

Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?

Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania
ukifanya hivyo, kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii tutaingiza magaidi nchini.
hujui ruto ni mpenda sifa na populist?

jamaa ni demagogue to the core

ni professional serial lier!

yaani anadanganya eti "GRAMMY" watafungua studio Kenya za kufanya movie production kiasi kwamba hajui GRAMMY haijihusishi na movie production at all

huyu jamaa na pepo la uongo na populism

na cha ajabu Kenyans hua they believe what this lunatic says
 
Your reasoning capacity yako iko chini below average......nchi kama Tanzania inauwezo wa kuzuia magaidi kuingia wakitaka?, Nani kakuambia kwamba gaidi anahitaji viza kuingia hapa Tanzania?
Jao wenye mtazamo huo wa ugaidi hawajielewi.
Tuelewe kwamba Kenya ishashambuliwa Na matukio ya kigaidi kulipo Tanzania kabla ya hapo
Marekani ni nchi ngumu kutoa visa Ila inashambuliwa Na magaidi.
 
Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.

Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?

Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?

Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?

Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania
ukifanya hivyo, kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii tutaingiza magaidi nchini.
Ovyo kabisa
Magaidi yapo ndani ya Nchi yetu yakiitafuna kesho yako na kesho ya Watoto wako.......
Magaidi.. Magaidi eti ya Kisomali......
Hhhhhhhh
 
Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.

Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?

Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?

Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?

Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania
ukifanya hivyo, kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii tutaingiza magaidi nchini.
Kwamba hao magaidi wanakosa $20 hadi $50 kwa sasa?
 
Kwa uelewa wako visa ni nini?

Kwa nini unadhani uhitaji visa kwenda Kenya?
Kutokana na makubaliano ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ya free movement of people wananchi wa nchi mwanachama hahitajiki kuomba visa kutembelea nchi yeyote ambayo ni mwanachama anachotakiwa ni kuwa na kitambulisho rasmi kinachomtambulisha kama raia wa nchi husika mpakani anapewa entry permit ya siku 90
 
Bongo [emoji23][emoji23][emoji23]hii nchi tunajiskia aisee , yaani Kenya wafanye issue kwa kuwa inalenga Tanzania.
Nchi ngumu sana hii
Yaani nimeshangaa sana kuna lijinga limoja limekoment hivyo.
Baadhi ya raia wa hii nchi yetu ni majinga sana
 
Unapoambiwa free visa haimanishi utaingia kiholela bila ukaguzi au kujikalia tu.

Kitakachokosekana ni ile kulipia visa lkn ukaguzi na ufuatiliaji kuwa unafanya nini utafuatiliwa kama kawaida na lazima ueleze utakuwepo kwa muda gani.

Basi kama ni rahisi kama unavyowaza nenda Somalia na hiyo free movement yako!
 
Una hoja nzito, usikilizwe. Kwasababu this is not an overnight petty issue to deal with kwa maana vyombo vyetu vya usalama visijekuwa overloaded with huge task itakayopelekea loopholes, unless wa isolate kitengo so special and specific ku deal na hiyo section.
Kwani kuingia nchini kunahitaji visa , nchi hii wasomali,wacomoro, msumbiji,wacongo mpaka kuna warwanda kadhaa wapo mpaka kwenye vitengo by a usalama na siasa nchini wakijifanya wabongo.
Uraia wenyewe kununua ni issue simple sana
 
Mchakato wa kupatikana VISA unaweza kua na mlolongo mrefu mpaka ukaleta dosari.

Mfano. Taratibu za kupata VISA ya Marekani zinaboa sana kama ulikua una plan kwenda vaccation tu unaweza kata tamaa.

Sijajua taratibu za kupata VISA ya kwetu hapa bongo/Kenya
USA na nchi za magharibi unaomba visa unatoa hela ukinyimwa hela imeenda, hebu fikiria hicho kitega uchumi wamejiwekea hawa jamaa cha kula pesa kiulaini

Watu wangapi wanaoomba na kukataliwa ni kama pata potea katika elfu huenda kumi wakapewa
Labda Ruto ana sababu zake ngoja wakenya waje
 
Una hoja nzito, usikilizwe. Kwasababu this is not an overnight petty issue to deal with kwa maana vyombo vyetu vya usalama visijekuwa overloaded with huge task itakayopelekea loopholes, unless wa isolate kitengo so special and specific ku deal na hiyo section.
Unajua Europe ni free zone kwa hizo nchi zote. Na uturuki ni let say waarabu Kuna Kazakhstan etc but hatusikii hizo shida why Africa. Hapo Kenya ugaidi upo hata B4 hii free zone. Gaidi akiamua Kuja atafika tu iwe free zone au LA.
 
Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake.

Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji?

Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini?

Kwamba kuna wawekezaji serious walishindwa kwenda Kenya kwa kukosa dola 30?

Hii kwangu naiona kama njia ya kukaribisha magaidi nchini Kenya na sio njia au jambo zuri la kuiga Tanzania? ukifanya hivyo, kesho uhamiaji watajaa wasomali maelfu kwa kigezo cha utalii tutaingiza magaidi nchini.
Wa kuitwa JABA.
 
Inasaidia kuongeza fedha za kigeni, kwa sababu itatembelewa na watu wengi. Pia inawezekana pia ikaendana na marekebisho chanya katika uwekezaji, na kuweza kuzalisha ajira za kutosha.

Pia wanajiwekea mazingira kwa wananchi wake kukubaliwa huko nje wanakoenda kutafuta fursa; kwa kuimarisha ushirika na nchi za kigeni.​
Yes wameona kama wao ni ngumu kuwa ajiri Hao vijana wanaomaliza hapo Kenya so wanawatfutia malisho nje ya nchi. Kwangu MI naona heko kwa ruto. Sema nchi hii imejaa mawazo ya kikoloni aka kikomunisti
 
Back
Top Bottom