Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Ila pale ifm changamoto sana. Mnatembea barabarani kabisa kwa mariiiiingo
 
Hata pikipiki hivyo hivyo ukiendesha Honda 110 unaweza pewa mke bure kabisa ukiipaki sehemu unayochumbia wanakuelewa fasta maana bei yake imesimama madingi wanaelewa bila m.9 humiliki pikipiki 110 wahuni wa SanLG na Boxer hamuelewi somo hili kumiliki Honda 110 lazima uwe na mpunga wa kumiliki Boxers 3 haki ya mama mzazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…