Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Nawaonea huruma watu wenye miili mikubwa afu wana tugari tudogo.

Unakuta mtu ni mrefuu mwili huo bonge kweli, basi kapaki sehemu, kigari mpaka tail zimebonyea akishuka tu gari linarudi juu, ukija angalia vizuri unakuta alikuwemo mwenyewe dah.
 
Mbaya zaidi ukute umefunga hizi rim..😄😄

 
Wivu tu...
Anayemiliki subaru ndo mwanaume sasa...lkn sio viforester vyenu.
Subaru ya maana wrx, sti ,gc8, n12 na makolokocho mengine ya maana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…