Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Watu wanaita za kihuni kutokana na dereva anayekaa humo...
Dereva anashuka mfano kwenye Altezza au Subie, ananuka K vant, shavu limevimba mirungi...
.sijui kichwani ana vidredi vichafuuu, au kiduku..
Kikaptula,
Chini yeboyebo na visoksi....
Mfukoni ana kiberiti,
Pakiti ya sigara...
Akiinama unaona elastic ya boxer paana kiuno sijui saizi 68. [emoji35][emoji35]...na limfereji la makalio, limepauka kama limepakwa poda..

Sasa huyo ni binadamu...? Si muhuni tu huyo..
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]dah
 
Yaani kuna gari ukiendesha hata kama Una busara zako unaonekana muhuni tu,hasa zikiwa zenye tinted ukishuka ndio unaona aah kumbe blaza!
Gari ambazo watu huzichukulia vibaya ni kama
Altezza,Subaru hasa Impreza na Forrester,Crown,IST kwa wenzetu SA VW PoloView attachment 2110350
Sisi ambao hatua magari kabisa tunaruhusiwa kukomenti chochote humu??.
 
Ameshindwa kuelewa jina la Subaru, ni kama ilivyo kwa Toyota ambako ndani yake kuna kizazi kama IST Land cruser, GX 110 na zingine.
We acha tu, ndio madhara ya kuparamia mada usio na uwelewa nazo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Matoleo mapya ya VW polo SA walichukua polisi kwa hiyo wote wanaonekana wahuni? Golf 7 mpaka 10 ndio watata bara barani kwa mbio VW polo wanatumia maofisa wengi na pisi ni gari zisizo na makeke na watumiaji wake sio kama wa GTI 8 yenye exhaust za makelele...wenyewe wanaita kujamba na Benz sports zipo za makelele pia hata BMW pia wanatengeneza magari kutokana na soko linataka nini...

Umepotea sana kamanda, karibu sana
 
Hamna kagari kanakonunuliwa kwa zaidi ya 50M mzee hebu kuwa na adabu
Kuna mwenzake anaitwa toyota raize
Screenshot_20220208-104059~2.jpg
 
Back
Top Bottom