Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Umeongea kwa dharau as if ni kagari ka million 8 hivi kama passo au daihatsu MiraKumbe ukubwa wa gari unapimwa kwa bei?š¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea kwa dharau as if ni kagari ka million 8 hivi kama passo au daihatsu MiraKumbe ukubwa wa gari unapimwa kwa bei?š¤£
Magari na nguo ni vitu viwili tofautiSio Tz tu dunia nzima. Hata nguo unazovaa zinaweza kuonesha tabia yako.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]dahWatu wanaita za kihuni kutokana na dereva anayekaa humo...
Dereva anashuka mfano kwenye Altezza au Subie, ananuka K vant, shavu limevimba mirungi...
.sijui kichwani ana vidredi vichafuuu, au kiduku..
Kikaptula,
Chini yeboyebo na visoksi....
Mfukoni ana kiberiti,
Pakiti ya sigara...
Akiinama unaona elastic ya boxer paana kiuno sijui saizi 68. [emoji35][emoji35]...na limfereji la makalio, limepauka kama limepakwa poda..
Sasa huyo ni binadamu...? Si muhuni tu huyo..
Aaha wapi, gari ina addiction mbaya, natamba na Avante langu tu mjini, AC unaganda [emoji16][emoji23]GX100 wewe ni poti....magari ya polisi hayo [emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi nimesema sio subaru?Forester nayo ni Subaru mbonaš¤!
Wapi nimesema sio subaru? Nimezungumzia aina za subaru nikazitaja zenye uwezo zaidiAma kweli ushamba mzigo kwa hiyo foresta sio subaru [emoji846] ndio tatizo la kujifanya mjuzi kumbe hujui kitu
Sisi ambao hatua magari kabisa tunaruhusiwa kukomenti chochote humu??.Yaani kuna gari ukiendesha hata kama Una busara zako unaonekana muhuni tu,hasa zikiwa zenye tinted ukishuka ndio unaona aah kumbe blaza!
Gari ambazo watu huzichukulia vibaya ni kama
Altezza,Subaru hasa Impreza na Forrester,Crown,IST kwa wenzetu SA VW PoloView attachment 2110350
We acha tu, ndio madhara ya kuparamia mada usio na uwelewa nazo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ameshindwa kuelewa jina la Subaru, ni kama ilivyo kwa Toyota ambako ndani yake kuna kizazi kama IST Land cruser, GX 110 na zingine.
Mbona unaiponda hivyo Sasa, inaifahamu vizuri lakini?Wapi nimesema sio subaru?
Matoleo mapya ya VW polo SA walichukua polisi kwa hiyo wote wanaonekana wahuni? Golf 7 mpaka 10 ndio watata bara barani kwa mbio VW polo wanatumia maofisa wengi na pisi ni gari zisizo na makeke na watumiaji wake sio kama wa GTI 8 yenye exhaust za makelele...wenyewe wanaita kujamba na Benz sports zipo za makelele pia hata BMW pia wanatengeneza magari kutokana na soko linataka nini...
Ahsante Mkuu...Umepotea sana kamanda, karibu sana
Pamoja sana kamanda wanguAhsante Mkuu...
Analichukulia poa labda kwa sbb hana taarifa za gharama ya lile gari.Hamna kagari kanakonunuliwa kwa zaidi ya 50M mzee hebu kuwa na adabu
Kuna mwenzake anaitwa toyota raizeHamna kagari kanakonunuliwa kwa zaidi ya 50M mzee hebu kuwa na adabu
Hii ni rebadged Suzuki sioKuna mwenzake anaitwa toyota raizeView attachment 2112363
Rebadged Daihatsu Rocky hiyoHii ni rebadged Suzuki sio
Hahahha rocky is so freakin boxyRebadged Daihatsu Rocky hiyo
Mmmh kubali tu uliteleza kiuandishi.We nae. Hivyo viforester vyenu common sio sti. Najua ambazo zinazo