Kuna Genge ndani ya CCM linajiandaa kumuondoa Samia 2025 kwa Mlango wa Nyuma

Wewe ndo huna mawazo kabisa!

Kwahiyo samia kumteua kinana ni udini?

Vipi magu na mangula wote walivyokua m.kiti na makamu mwenyekiti wote wakristo naye tuhesabu alifanya udini?Pumbafu
 
Unapoteza muda ndugu, tafuta shughuli ya kukuingizia kipato achana na hizi porojo za majuha na za kufikirika kwani hazipo. Rais Samia tunamuombea afya na uzima tu lakini panapo majaliwa ni Rais wetu hadi 2030. Kama hupendi kusikia nakushauri chimba shimo ujifukie au saga chupa umeze kwa tindikali
 
Vaa viatu vya samia ungekua wewe ungefanyaje kama waliokuingiza kwenye siasa ndio hao hao unawaita wez
 
Nikka dont understand 4 devils.

1.Lust
2.Hate
3.Jealous
4.Envy

It's Written.
 
Basi subiri SSH aweke demokrasia, Kura zipigwe na kuhesabiwa mchana kweupe. Amin Amin nakwambia utakuja kulalamika kwamba uchaguzi ulikuwa wa ovyo.
Hafu watu wanajimwambafy huku mtaani hakiyanani research yangu inatosha yaani mtaani hawaelewi kitu zaidi ya JPM whether alikuwa dictator , shetani , wampe kila jina ila alishateka nyoyo za watu
 
Bahati mbaya SSH amekuwa akiteua ama Mawaziri ama Makatibu Wakuu ama Wenyeviti na Wakurugenzi wa Bodi mbalimbali akiamini anafanya yeye kumbe Mtandao umemchomekea Majina.
Mada za kihuni hizi. Hata hueleweki unachoandika ni nini! Unazunguka tu na maneno, huku ukijipinga mwenyewe uliyokwishayasema mwanzo!

Hopeless.
 
We ndo umesema ila hakuna anaetaka kumnyima kuongoza
 
Questionable
 
Sijui tuseme ni WA awamu Yako pendwa,kwani mawazo ya chuki na hisia hasi zimejaa kwenye andiko lako,ila bado anamzidi mbali sana unayempigia chapuo🤔
 
Uzi wenyewe ni bahati mbaya
 
Mkuu leo nafuturisha hapa mtaani naomba usikose. Umesema ukweli woooooooote.
 
Maelezo mareeefu alafu pumba tu.

Magufuri aliingia ikulu kimakosa.
 
Wakati nakubaliana na mtoa hoja, Rais awe makini katika kuteua wasaidizi wake na wenyeviti wa bodi za mashirika mbalimbali.
-Siku za hivi karibuni Rais amekuwa akichagua Wastaafu wengi kuongoza bodi za taasisi mbalimbali.labda analipwa fadhila au mikakati ya 2025.

Ushauri
-Kuchagua Wastaafu siyo mbaya,lakini atoe maagizo wajumbe wa bodi wawe vijana ili walete changamoto na kujifunza
-Rais achague watumishi waandamizi Serikalini kumsaidia kuongoza Serikali yake, ili mradi anakidhi vigezo
 
Nilichokiona wewe unachuki za kidini
Tu mbona hukusema udini pale Magufuli na Mangula wote ni wakristo mbona hukusema ni udini?
 
Ungeongezea "Bahati mbaya Samia kaziba masikio wala hasikii chochote zaidi ya Kuwa mshabiki wa vita ya urusi na Ukraine japo haeleweki yupo upande GANI"
 
Nchi Haijafunguliwa Na Mama
Mnaataka Kumuondoa Wakati Ahadi Yake Ni Kutufikisha Nchi Ya Ahadi
yenye Asali Na Maziwa
 
Magufuli alikuwa ni Mungu wenu eti ..?

Tukiandika ufisadi wake mnasema tumuache apumzike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…