Tinaisubiri na pepcon na pepsi bariiiiidiiiiSwadakta
Kuwa paka akiondoka panya twawalaaa?Wameamua kuwika baada ya simba jike kulala usingizi au kuzidiwa!!?
Kwanini sasa!? Na serikali haijavunjwa rasmi!!?
Mama samiah uko wapi Hadi watu wapate ujasiri huo kama wa pole pole!!?
Umezidiwa na usingizi au unaumwa!!?
Maana paka akiondoka panya hutawala!!!
Nawaza huku nikijiandaaa ku tick October!!
Ndivyo inavyoonekana!Kuwa paka akiondoka panya twawalaaa?
Nimecheka walahi mtoa mada anautani wa ngumiEti super black - we Jamaa unaleta utani
Na kauli zake nyingi zilijaa pambio za uchawa,Sio kweli. Huyo jamaa ni muoga Sana.
Wawala wao wenyewe mimi sikuli hiyo kituui!Ndivyo inavyoonekana!
Betting hata aviator sii kila mara inafail?Huu ni uzushi tu, ni kama unafanya betting
Endelea kuamsha ubongo utapata Jibu mimi nimeshamjuaSuper black ni nani?
Tutajua kama wamesha laanikaLolote liwapate, Amina