Kuna habari nzito inakuja hii ya polepole ni cha mtoto .!

Kuna habari nzito inakuja hii ya polepole ni cha mtoto .!

Katelephone Mwokozi wa ndege Bukoba
Kipenzi cha watanzania wanyonge na wapenda haki aliyebaki Tanganyika.

Shujaa ambaye wezi na wabadhilifu walikuwa wanamuogopa zaidi ya Pombe Magufuli mwenyewe...
Mzee wa kutembea na FACT, DATA, nk...
Hakika Mungu tunakuomba mtu huyu akawe nuru ya kuondoa Giza Nene mbele yetu
 
Huyo ni coward sana hawezi kusema neno lolote, alafu hakuna jipya hapo. Major move ilikuwa ni ya Lowassa tu na ile iliwatikisa haswaa
Coward bila backup ya system...ila jamaa ni hatari Sana!
 
Wameamua kuwika baada ya simba jike kulala usingizi au kuzidiwa!!?

Kwanini sasa!? Na serikali haijavunjwa rasmi!!?

Mama samiah uko wapi Hadi watu wapate ujasiri huo kama wa pole pole!!?

Umezidiwa na usingizi au unaumwa!!?

Maana paka akiondoka panya hutawala!!!

Nawaza huku nikijiandaaa ku tick October!!
Umevunjwa jana 😂 😂. Jana kilikuwa kikao cha mwisho cha baraza la mawaziri
 
Na msishangae pm mwakani anateuliwa kuwa mkuu wa wilaya
 
Super black ni nani?
20250715_132829.png
 
Hana balls hizo na ni bora huyu aliyepo kuliko huyo ambaye binafsi sijawahi ona legacy yake zaidi ya kudanganya hadharani.
Hata aliyepo alidanganya kwa kusema anaumwa vimafua tu sema watu mmesahau.
 
Back
Top Bottom