MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 993
- 2,045
BibalaDiblo
BibalaDiblo
Wewe endelea kupigambonji bado hapaja kucha,pakikucha utaamkaga tuu!Kuna watu hawaelewi yanayoendeleq nchi hii kama mm😂 I hope sipo pekeangu doh!
MajaliwaSuper black ni nani?
Unatekenywa makalio hadi imeleta post Sio sehemu yakeWakuu mkae kwa kutulia , jamaa wa super black anaelekea kuuchochea moto
Naunga mkono hoja, alikuwa Mwalimu, bado anauoga ule wa kialimu! Mleta mada anajitekenya na kucheka mwenyewe! Hana tofauti na mpiga ramli britaniccaSio kweli. Huyo jamaa ni muoga Sana.
Huyu sio kayelephone kweliSuper black ni nani?
Tawire,tawireTawire
Hii ngoja niiweke laminationKatelephone Mwokozi wa ndege Bukoba
Jana nimesikia kwa Lucas kakaa na cabinet yakeWameamua kuwika baada ya simba jike kulala usingizi au kuzidiwa!!?
Kwanini sasa!? Na serikali haijavunjwa rasmi!!?
Mama samiah uko wapi Hadi watu wapate ujasiri huo kama wa pole pole!!?
Umezidiwa na usingizi au unaumwa!!?
Maana paka akiondoka panya hutawala!!!
Nawaza huku nikijiandaaa ku tick October!!