Kuna habari nzito inakuja hii ya polepole ni cha mtoto .!

Huyo ni coward sana hawezi kusema neno lolote, alafu hakuna jipya hapo. Major move ilikuwa ni ya Lowassa tu na ile iliwatikisa haswaa
 
Kuwa paka akiondoka panya twawalaaa?
 
Kuna watu hawaelewi yanayoendeleq nchi hii kama mm😂 I hope sipo pekeangu doh!
 
Super black yupi?.... Unamsema yule mwenye anatokea kule mchezaji wa Simba alihamiaga wa kuitwa MK14....???🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…