Kuna habari nzito inakuja hii ya polepole ni cha mtoto .!

Hizi ni ramli za hovyo kabisa.
Watu mmeshajua watanganyika wako kwenye presha kubwa ya m-binyo wa utawala mbovu wa ccm, kila mtu sasa anajifanya nabii na waganga wa jadi.
Bure kabisa.

Mbona hamkutabiri ya Polepole kabla hayajatokea?
 
Jana nimesikia kwa Lucas kakaa na cabinet yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…