Kuna haja ya Tundu Lissu kuandaliwa kuiondoa CCM 2025 madarakani?

Lissu ameeendelea kuwa mtu bora sana wakati woote.

Ni ngumu sana mtu mchafu kukemea machafu akakubalika.

Tunamhitaji Mr Clean, Mr Haki, Mr Maendeleo. Tundu Antiphas Lissu.
Huyo mkimbizi akiwa rais ni bora nikaishi Somalia. Kwanza haiwezekani kamwe na hatakuja kutokea
 
Utakuwa huna uzazi kabisa wewe dada.
Unathubutu kumuita Lissu mkimbizi?
Mtu aliyemwaga damu yake kwa kitetea wanyonge?.

Nchi hii tangu uhuru hajatokea mtetezi jasiri kama Lissu.
Wewe mpumbavu hujui maana ya kumwaga damu! Nyamaza tu!
 
Hivi hakuna mtu mwingine wa kuleta mabadiliko zaidi ya huyo mkimbizi?
Mbona wanaharakati wa mapinduzi wako wengi tu! Tena watatoka ndani ya CCM, trust me!
Miaka 60 hakuna lililopo. Na kwahiyo ccm hakuna wakuleta mapinduzi tena.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Inaonesha wewe huna shida na CCM, ila huwapendi baadhi ya viongozi wa CCM.
Ndio maana unamtaka TUNDU LISSU.
KIFUPI: Sioni mabadiliko ya kuitoa CCM Madarakani kwa sasa hivi( Labda itokee external force, kama ilivyotokea LIBYA).
2025 inakuja
 
Kuna Haja ya CCM kutoka madarakani aisee
 
Mmhh hapo sasa🤔
 
Tundu Lissu Hana uwezo wa ku-mobilise watu wa chini.

Ana vijikauli vingi sana vya dharau kama Mimi sina Hela huku anajenga ghorofa Tegeta.

Mabadiliko huletwa na watu wa chini
Project yake ya kuomba pesa ugaibuni na kuja na mahela kujidai anakuja kugombea urais inalipa saana. Usiongelee ghorofa tu, anajizatiti sana kiuchumi.
 
Lisu anafaa kuitoa ccm madarakani Ila tatizo Ni Sacco's ya mtei 🤣🤣🤣 labda agombee kupitia Act
 
Hii nchi ukimuondoa hayati Magufuli anaye fata Kwa uwezo tabia na uzalendo Kwa nchi yake ni Tundu Lissu. Kama Yuko tayari deep state tuandalieni huyu mwamba.
 
Alichaguliwa na nani?
Kama ni kuteuliwa na yule muuaji jambazi shetani aliyepo kaburini basi hafai hata wa kulumangia. Aendeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…