Kuna haja ya Tundu Lissu kuandaliwa kuiondoa CCM 2025 madarakani?

Kuna haja ya Tundu Lissu kuandaliwa kuiondoa CCM 2025 madarakani?

Mabadiliko ni muhimu na hata ndani ya CCM kuna wanaotaka mabadiliko. Katiba Mpya ndio muarobaini wa kila kitu.
 
Kumbuka CDM Haina utamaduni wa kurudia mgombea.

Pia KATIBA mpya na Tume huru vikipatikana kabla ya uchaguzi wowote, tutapunguza tatizo la kutegemea watu Badala ya kutegemea mifumo imara ya kiongozi.

Ameeeen
Atahama hata Chama
 
Hakuna demokrasia ya kuiondoa CCM madarakani.
heko! maneno machache maana ndefu!
bahati nzuri waliyoipata wanaonufaika na hali ya sasa ya ukosefu wa haki na usawa ni kuwa wameshajiridhisha watanzania ni tilalila maneno tupu!
 
Mnaandika ufala sana naona katika koment hatutkiwi kuwaza Nani anafaa jibu ni moja katiba na mifumo ya kuongoza nchi kiasi kwamba hata akikaa mtoto wa miaka minne anaejua kusoma tu nchi inakwenda hata kwa miaka mia...watu wote wanapangufu. Na Hilo rudini kumsikiliza Prof Assad aliwahi kuongea hilo
 
Uhuru, haki na maendeleo ya watu. Hii slogan mheshimiwa lissu angeitendea haki. Kana si kina mwenda zake, ndugai na Mahera mheshimiwa lissu angekuwa Magogoni saa hizi.
No way,, hata jpm alikomba kura nyingi kumzidi Lissu,, CCM bado wana watu kona zote,, sio rahisi kama mdhaniavyo
 
Watu wa Deep State wabadilike wawe kama wa Kenya ni wazalendo kwa Nchi yao.

Uchaguzi wa kenya uwe chachu system za ccm ziamke.

We need to step up. Dunia inakimbia sisi tunatembea bado na mabakuli ya kuomba misaada ya matundu ya choo.
Straight to the point...

And please let's have meaningful discussion around it, sio matusi tu. Let's be objective towards it.

Voter Turnout.

1. Chebukati confirm that the voter turnout in 2022 elections were 65.4%.

2. That Chebutaki confirmed that some places in Makueni + Kakamega had manual identificatied voters, which were not captured by Kiems Kit.

Now let's interrogate the numbers.

2022 registered voters is 22,102,458

What we know up to now.

1. What chebutaki has declared, what is in the form 34c just few minutes uploaded, is
total votes in presidential election is 14,326,751 ( this includes all valid and spoilt votes)

2. If we do 65.4% of 22,108,458 it gives us 14,455,007

3. We have not added the manual votes from Makueni+ Kakamega on top of 14,455,007.

4. If we find the difference between 14,455,007 - 14,326,751 = 128,256.

5. Where are this votes? + The manual votes?
From JamiiForums.com member D mungai
 
Lissu will make one of the worst presidents ever.......he is good for who he is.....mpinzani bora, ila si kiongozi bora
 
Tundu lisu, too emotional,, just like stone,,, [emoji23]

..emotional but law abiding.

..principled and fair to all.

..namfananisha zaidi na ben mkapa kwa kuwa-bookish, mwenye misimamo, na anavyojiamini.
 
Lissu will make one of the worst presidents ever.......he is good for who he is.....mpinzani bora, ila si kiongozi bora
Kwa watu waliosoma psychology, Tundu ni too emotional ni kama JPM tu akishika madaraka.

Yule hata fanya kazi mpaka amalize jukumu la kulipa visasi, ni vyema upinzani upate mgombea mwingine.
 
Kwa watu waliosoma psychology, Tundu ni too emotional ni kama JPM tu akishika madaraka.

Yule hata fanya kazi mpaka amalize jukumu la kulipa visasi, ni vyema upinzani upate mgombea mwingine.

..sio kweli.

..lissu ni mpenda haki.

..na amejitoa kusaidia na kutetea watu wengi kupata haki.

..ni muumini mkubwa wa sheria na utawala bora.
 
Habari wana Jf, kwa mara ya kwanza nimejikuta nasikitishwa sana na umasikini na ugumu wa maisha unaoendelea kuongezeka huku kukiwa hakuna suluhisho la kueleweka Kutoka CCM. Nimewaza sana na kujikuta naona Tundu Lissu ndiye anaonekana mtu pekee kwa sasa mwenye ushawishi na uwezo wa kuongoza nchi, hasa kuiondoa CCM madarakani kupitia chama chochote hata kipya, aandaliwe na kuweza kuja kuiondoa CCM.

CCM imeongoza nchi kwa zaidi ya miaka 40 lakini imeshindwa hata kuwatua kina mama ndoo za maji mijini kote. Pia imeshindwa kwa kiwango kikubwa katika kupiga vita ufisadi, kuendeleza na kujenga viwanda, kuondoa shida ya ajira, kuboresha huduma za afya na nk.

2025 CCM inaweza ondoka, aandaliwe vizuri tu.
Tundu Lissu hawezi kutufanya kuondoa CCM mdarakani. Atafutwe kwa makini mtu mwingine makini asiye mwanaharakati awe mgombea. Na ni rahisi kumshinda mgombea wa CCM kama watamsimamisha mama.
 
Habari wana Jf, kwa mara ya kwanza nimejikuta nasikitishwa sana na umasikini na ugumu wa maisha unaoendelea kuongezeka huku kukiwa hakuna suluhisho la kueleweka Kutoka CCM. Nimewaza sana na kujikuta naona Tundu Lissu ndiye anaonekana mtu pekee kwa sasa mwenye ushawishi na uwezo wa kuongoza nchi, hasa kuiondoa CCM madarakani kupitia chama chochote hata kipya, aandaliwe na kuweza kuja kuiondoa CCM.

CCM imeongoza nchi kwa zaidi ya miaka 40 lakini imeshindwa hata kuwatua kina mama ndoo za maji mijini kote. Pia imeshindwa kwa kiwango kikubwa katika kupiga vita ufisadi, kuendeleza na kujenga viwanda, kuondoa shida ya ajira, kuboresha huduma za afya na nk.

2025 CCM inaweza ondoka, aandaliwe vizuri tu.
Atamwongoza nani mtu mwoga kiasi hicho?
 
Kwa jinsi ninavyoumwa, am sad (glad) that I may not be alive by 2025!
And if am departed, I will be glad to be departed by the age of 40+!
 
Lissu will make one of the worst presidents ever.......he is good for who he is.....mpinzani bora, ila si kiongozi bora
Basi kama humpendi ndio unabinya sifa zake njema? He is still the best candidate ever.
 
Back
Top Bottom