Kuna haja ya Tundu Lissu kuandaliwa kuiondoa CCM 2025 madarakani?

Kuna haja ya Tundu Lissu kuandaliwa kuiondoa CCM 2025 madarakani?

Habari wana Jf, kwa mara ya kwanza nimejikuta nasikitishwa sana na umasikini na ugumu wa maisha unaoendelea kuongezeka huku kukiwa hakuna suluhisho la kueleweka Kutoka CCM. Nimewaza sana na kujikuta naona Tundu Lissu ndiye anaonekana mtu pekee kwa sasa mwenye ushawishi na uwezo wa kuongoza nchi, hasa kuiondoa CCM madarakani kupitia chama chochote hata kipya, aandaliwe na kuweza kuja kuiondoa CCM.

CCM imeongoza nchi kwa zaidi ya miaka 40 lakini imeshindwa hata kuwatua kina mama ndoo za maji mijini kote. Pia imeshindwa kwa kiwango kikubwa katika kupiga vita ufisadi, kuendeleza na kujenga viwanda, kuondoa shida ya ajira, kuboresha huduma za afya na nk.

2025 CCM inaweza ondoka, aandaliwe vizuri tu.
Uko sahihi
 
Anayewaza vyema kwa sasa ni yule tu anayepanga kukinukisha kwa kudai katiba kwa mtutu! Na back up kidogo ya West!
Nyingine ni porojo.
Tuwatoe kwenye comfort zone kwanza walafi.

(IF YOU WANT PEACE START A WAR)
Kwa Violence wasalinu
 
IMG_20220816_140702.jpg
 
Usalama w taifa waovu wanataka kuua wTu potential Ili nchi ibaki na wtu wPuuzi
 
Uhuru, haki na maendeleo ya watu. Hii slogan mheshimiwa lissu angeitendea haki. Kana si kina mwenda zake, ndugai na Mahera mheshimiwa lissu angekuwa Magogoni saa hizi.
It was supper those days. Mungu yupo lakini one day Yes.
 
Tofauti ya Tundu Lissu na Magufuli ni kwamba Lissu anasoma sana na anaelewa mambo mengi sana. Kwa tabia ni kama wanafanana tu, wote wana mihemko na ni mbaya kwa kiongozi wa ngazi ya Rais.

Upinzani nikijaribu kuangalia vyama vyote pamoja na hivi vingine ambavyo viongozi ndio wanachama pekee waliopo, Mbowe pekee ndio ana utulivu wa akili wa kutosha kwa ngazi ya Urais. Labda na 'Mama Tanzania' kwa mbali.
Mr Haki, Mr Maendeleo ni Lissu tu.
 
Anayewaza vyema kwa sasa ni yule tu anayepanga kukinukisha kwa kudai katiba kwa mtutu! Na back up kidogo ya West!
Nyingine ni porojo.
Tuwatoe kwenye comfort zone kwanza walafi.

(IF YOU WANT PEACE START A WAR)
🤣🤣we jamaa
 
Anayewaza vyema kwa sasa ni yule tu anayepanga kukinukisha kwa kudai katiba kwa mtutu! Na back up kidogo ya West!
Nyingine ni porojo.
Tuwatoe kwenye comfort zone kwanza walafi.

(IF YOU WANT PEACE START A WAR)
Kuna kapoint flani lakini umekaongea.
 
Tundu Lissu Hana uwezo wa ku-mobilise watu wa chini.

Ana vijikauli vingi sana vya dharau kama Mimi sina Hela huku anajenga ghorofa Tegeta.

Mabadiliko huletwa na watu wa chini
Duuh yaani kagorofs kake tu kamoja ndio una reference kama sifa ya kukosa urais?

Mkuu acha mawazo ya kimaskini.
 
Back
Top Bottom