Kuna idadi kubwa ya wasomali wanaoishi maeneo ya mjini. Je vyombo vya usalama wana taarifa zao za uhalali wa kuishi hapa?

 

Attachments

  • IMG-20260827-WA0012.jpg
    22.3 KB · Views: 10
  • IMG-20260829-WA0049.jpg
    34.8 KB · Views: 8
Nenda Somalia na wewe uone utakavyobaguliwa. Tena angalau hao wasomali wapo nchini lakini hawabaguliwi lakini wao wanakubagua hata kwenye nchi yako. Wanatuita Jareer.
Sijawahi kukutana na hili jambo ila kama ipo hvy wakiwa wengi itakuwaje
 
Jareer maana yake nini?
 
Msomali ukiona yupo Basi ujue amepokelewa na mwenyeji wake hapa nchini. Hao jamaa wana ushirikiano sana wanabebana bila kuangalia wanatokea eneo moja au kabila moja.
Na wakiwa wanaingia Huwa wanafata taratibu au ndy njia za panya akikaa miaka 10 ni raia tayari.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Maoni yetu ni kuwa wewe ni masikini na sasa umeaanza kuwa mchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…