Kuna IDs ambazo unaweza kudhani wanafanya masihara lakini kiukweli wana viashiria vya issue ya afya ya akili. Msiwanyanyapae!

Nakubaliana na wewe kabisa mkuu, ndio maana kuna baadhi ya mijadala mingine humu ndani kwa ustawi wa afya yangu ya akili inabidi niiruke au inipite tu maana kuna wadau wanakuwaga na mawazo yao tu ndio sahihi ukiweka hoja tofauti tu, anakushukia na matusi chungu nzima
 
de Gunner sikusemi kwa ubaya ila kuna kitu hakiko sawa juu yako.

Jaribu kuwa mentally stable.

Naamini ndani yako unaelewa
 
Afya ya akili ndio nini na unaipimaje? Nilipozaliwa katika mkoa x mtu akisema matongo yako ni bonge moja la tusi so nilipotoka pale nikahamia mwambao wenyemchanganyiko wa watu nikakuta watu wanataniana matongo matongo nikabaki kushangaa inakuwaje! So ndugu mtoa mada wewe ndio mwenye hayo matatizo na yote sababu ya mtazamo wako kuna timu ina itwa "KUMAMOTO" ya japan lakini kibongo bongo ni..... kwahiyo muwe mnatembea na kukaa na watu tofaut tofaut itawasaidia
 
Hivi mnaweza vipi kutunza I'd za members na nyuzi wanazotoa humu kichwani?


Kuna mdau mmoja anawaambia mtafute kazi za kufanya ila mnabishaπŸ€”
 
Mitandaoni ishi kimasta ! Vitu usichukie serious, mambo ni tofauti na maisha yetu ya kawaida kwenye jamii .....
Ukiweza hilo tu ni basi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…