Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Atakayebisha ndiyo anathibitisha alivyojaaliwa uchizi.Uchizi ni sehemu ya ubinadamu
Sawa shostiπππ Jamaa acha ushenzi
Tafuta wa kukuchezesha segere usilete dumbass shit kwanguππSawa shosti
πππ aiseee sina cha kuzungumza ila JF πππKubwa la Maadui hyu ni muathilika wa kwanza ndani ya Jukwaa la Jf
Hyu amekuwa affected kutokana na manyanyaso anayoyapata kwa shemeji yake anahtaji msaada wa dharula kabc
πππ MoisemusajiografiiKuna jamaa anaitwa de Gunner anaetunga nyuzi kila dakika nasikia hata usiku wa manane yumo tu.
KUna kitu hakiko sawa
Awe mpole, tutamsaidia kiimawazo
Kumbe jamaa na wewe una mambo ya kile kike sio?
Haina shida mkuu.πKumbe jamaa na wewe una mambo ya kile kike sio?
Naona una support mpk mashoga humu?Haina shida mkuu.π
Its upto youπ
MAKAO MAKUU WA WAGONJWA WA AKILI TANZANIA YANAPATIKANA MISIKITINI NA MAKANISANI HASA MAKANISA YA WALOKOLE.Siko hapa kutaja mtu.
Ila kwa bahati mbaya katika jamii zetu ukizungumzwa afya ya akili ni kama utoto wa mamaa hivi ila kiukweli vijana wana issues sana.
Akili zimevurugwa kwa mchanganyiko wa mazito mengi sasa akiwa nyuma ya keyboard atayaachia yote bila break hana wakuongea nae mtaani, hana counselor, hana matibabu.
Sio tabia, sio utani, sio masihara, they are broken.
Haina shida mkuuπNaona una support mpk mashoga humu?
πππππuzi una lengo zuri yu la kusaidiana, ila sasa patageuka battle field humu.
Kubwa sana kuliko unavyoweza kudhaniπππ
Nafikiri kweli sasa kuna shida ya akili hata mimi nimegundua sasa