πKItu nimegundua mkuu hata wanaoita wenzao wendawazimu unakuta wao ni wahanga vile vile bila kujijua,Juzi kati hapa nimesoma taarifa moja; UN wanakusudia kutangaza "Mental health issues" kama global agenda kwa sasa. Sio habari nzuri sana, sio muda "Mental health issue" itakuwa ni suala mtambuka "Cross-cutting issue" kama Climatic Changes, Global warming, na masuala ya Gender. π
Msishangae huko mbele, kukawa na wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, walemavu na afya ya akili. π
Yes ππππ nakutumiaHuwa naona mambo kuhusu tomato tu.Hivi huwa ina maana gani?
Mkuu uliwahi kusomea mambo yaafya ya akili ? Umeongea kitaalamu sanaπ€sasa kama wengi humu ni anonymous, from what someone ana share huwezi jua kama ana changamoto ya afya ya akili au hana. Nyie mnao assess watu from what wana share humu ndio mna changamoto ya afya ya akili. Wengi wanachagua cha ku share humu and how to behave, muache kuchukulia mambo serious.
Kutoka kwa Samia2030 ""Siku moja nilikwenda kumnunulia chips kwa sababu anazipenda sana, na dada wa kazi hakuwepo kumpikia. Nikiwa hapo, nikamsikia mteja mmoja akisema asiwekeewe tomato kwa sababu zinawawasha watoto tundu la haja kubwa. Nilishangaa kuona kwamba hata muuza chips alikuwa analifahamu jambo hilo na hakuliona kuwa la ajabu kama mimi nilivyoliona.Huwa naona mambo kuhusu tomato tu.Hivi huwa ina maana gani?
wala mkuu, me ni mpiga debe mzoefu hapa Ubungo Kibo, kwa safari za mkoani tuwasiliane.Mkuu uliwahi kusomea mambo yaafya ya akili ? Umeongea kitaalamu sanaπ€
Hii ipo kitaalamu sanawala mkuu, me ni mpiga debe mzoefu hapa Ubungo Kibo, kwa safari za mkoani tuwasiliane.
Mimi uchizi wangu huanzia saa tisa na nusu mchana.Sina baya!
Take it easy mkuu.Usipate taharuki.Naona una support mpk mashoga humu?
upo sawa sawa kabisa mkuuHii ipo kitaalamu sana
Anosognosia π
Mtu anaweza kuwa na tatizo la afya ya akili lakini hana uwezo wa kutambua kwamba yeye ndiye mwenye tatizo, na badala yake huamini wengine ndio wana matatizo.
Kuna watu wa shenz sana humuTake it easy mkuu.Usipate taharuki.
Nimekaa chonjo na sindano kubwa ya dawa aina ya fluphenazine deconoate.Mshikeni vizuri nimdunge dozi!ππππ
Naunga mkono hoja kwa mbwembwe sana π.
Ni daktari huyo MD kabisa.Mkuu uliwahi kusomea mambo yaafya ya akili ? Umeongea kitaalamu sanaπ€
SureNi daktari huyo MD kabisa.