Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

Mkuu unafaidi sana Bro Asprin
Na jinsi Ulivyo...Ni Mwanamke Mpumbavu tuu ndio anaweza asitake kuwa na wewe[emoji41]

Naamini Huyu Demi hawezi chezea bahati hii[emoji6]
Ndugu yangu ikigijo

Mimi na Demi hatujafahamiana gengeni. Ni kipenzi changu cha kwelikweli

Kama ikimpendeza nawe ukawa na tabia njema, ana mdogo wake tunaweza kuyazungumza
 
Mfuate jamaa mwambie nimejua unamla shemeji yangu. Baadae mfuate shemela mwambie ninajua unaliwa na fulani.

Wakiendelea basi jua blaza hana mke... unamwambia live aachane na huyo malaya
Sahihi ila mimi naona awachane wakiwa wote wawili, shemeji na huyo jamaa anayemgonga. Kama utakaa kimya jua wewe pia ni mnafiki Sana na mshirika wa huo uozo. Kumbuka brother wako hajui chochote lakini wewe umebahatika kufahamu. Ukiendelea kuogopa eti ndoa itavunjika unapaswa ujue kwamba hapo hakuna ndoa tena na unaweza kukuta hata watoto, kama wapo, siyo wa Kaka yako,jambo ambalo ni baya zaidi.
 
Tafuta ushahidi umpeleke bro, huwezi mweleza hivi akakuelewa, halafu miaka minne yote huyo bro wako hajagundua kitu kwa mkewe?
 
Poor argument [emoji107]
 
Kama unakaa Kibaha nenda Kigamboni chukua simu ya Bodaboda fanya unatuma msg halafu mpe mchongo wote kaka yako kuhusu huyo rafiki yake ukiwa na ushahidi wa kimatukio. Utakuja kunishukuru.
 
Ndugu yangu ikigijo

Mimi na Demi hatujafahamiana gengeni. Ni kipenzi changu cha kwelikweli

Kama ikimpendeza nawe ukawa na tabia njema, ana mdogo wake tunaweza kuyazungumza

Brother nimekuelewa mnoo...Nalijua hilo
Ndio Maana nikasema Demi atafaidi sanaa kila Eneo.
Brother hapa Mjini Uko vema mnoo!
1.Handsome
2.Pochi uko Vema Mnoo
3.Mcheshi Hupendi Makuu
4.Huwa Unapenda Kufurahi....Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2014 nadhani Tuliwahi Kukutana Sehemu Na Kina Mtambuzi,Madame B,Paloma pale Maananyamala nadhani,Ukiwa Umepaki Gari yako Kali Pick up ford New Model...
Daa nikasema Mkuu ningekuwa na Dada ningekupa bure kaka!
Pale Mezani kila Mtu alikuwa anakusifia tuu Kaka!
Ndio Maana Nassma Huyu Demi atakula mema ya Nchi sanaa kama akijisalimisha 100Kwako. Na Tuisheni umpe[emoji12]
Kaka Sioni wakushindana na wewe hapa Mjini Dar es salaam.Nasema HAKUNA.
Cc: Warembo wa JF
Sorry Mtambuzi alikuwepo Sio Mchambuzi!
Asprin
 

Halafu unaweza kuta hata huyo kaka yako anajua ila hajakuambia tuu🤣🤣🤣🤣
Haya mambo yaskie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…