Kuna jamaa mmoja wa bodaboda hapa mtaani namchapia mke wake Sasa nahisi kama ameanza kujua

Kuna jamaa mmoja wa bodaboda hapa mtaani namchapia mke wake Sasa nahisi kama ameanza kujua

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa yeye kuva hajui na pesa Hana Sasa mke wake hua namchapia gesti Sasa Leo Kuna jicho kaniangalia nimepishana nae yeye alikua kwenye bodaboda Mimi natembea nikahisi kama kaanza kistukia mchezo mke wake nimemchapa mara 5 tu sio nyingi wakuu hivi anaeza kua kanistukia au Mimi tu najistukia
 
Ninarudia tena kwa mara ya mwisho,
Mwanaume timamu hawezi kushangilia kutembea na mke wa mtu,
Yani ni bora mwanaume kushangilia kutembea na shemeji yako( Ndugu na mke au demu wako) lakini sio mke wa mtu.
Itifaki ya wanaume ni kuwa wanaume wote ni ndugu moja so ninawashangaa sana nyie vijana wa 2000,

Wanaume tunakoseaga njia mara mojamoja tunafanya lakini ni majuto na sijambo la sifa.
🙏
 
Ninarudia tena kwa mara ya mwisho,
Mwanaume timamu hawezi kushingilia kutembea na mke wa mtu,
Yani ni bora mwanaume kushangilia kutembea na shemeji yako( Ndugu na mke au demu wako) lakini sio mke wa mtu.

Wanaume tunakoseaga njia mara mojamoja tunafanya lakini ni majuto na sijambo la sifa.
🙏
Sawa mkuu ila mke wake mwenyewe ndio ananishobokeaga nilishamkataaga mara kibao ila akiniona,ni shobo
 
Mimi natembea nikahisi kama kaanza kistukia mchezo mke wake nimemchapa mara 5 tu sio nyingi wakuu hivi anaeza kua kanistukia au Mimi tu najistukia
Ukijikuta upo MOI huna kumbukumbu sababu ulipatwa na majeraha kichwani ukatangazwa ndugu zako wakalipie mkeka ili wakuachie hapo ndio utaelewa kwanini walisema Cha mtu Mavi

Cc: Seran
 
Back
Top Bottom