Kuna jamaa mmoja wa bodaboda hapa mtaani namchapia mke wake Sasa nahisi kama ameanza kujua

Kuna jamaa mmoja wa bodaboda hapa mtaani namchapia mke wake Sasa nahisi kama ameanza kujua

Kulala na mke wa mtu ni mojawapo ya dhambi na uovu unaolaaniwa sana lakini kuitangazia dunia kwamba wewe unaifanya dhambi hiyo tena kwa kutamba ni dhambi na uovu mbaya zaidi na ni dalili ya ukosefu wa akili uliopitiliza
 
Ngoja wampe boda atembeze huku wameshikia kiuno kama mtoto wa chekeche

Zutu fulltank vidume vinabali rout Dar to kibaha to Bagamoyo usiku kucha wanampiga mshaki
 
tafuta kajiti ka useful wa cm15 au zaidi na upana wa nchi2 uanze kujizoesha taratibu ili ata siku ukifumaniwa usiumie sana
 
Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa yeye kuva hajui na pesa Hana Sasa mke wake hua namchapia gesti Sasa Leo Kuna jicho kaniangalia nimepishana nae yeye alikua kwenye bodaboda Mimi natembea nikahisi kama kaanza kistukia mchezo mke wake nimemchapa mara 5 tu sio nyingi wakuu hivi anaeza kua kanistukia au Mimi tu najistukia
Kwa umoja wa bodaboda, subiri kupakwa wese kwenye Kizibo chako na kitakachofuata ni wewe kuama mtaa au mkoa kabisa.
 
Back
Top Bottom