Kuna jamaa mmoja wa bodaboda hapa mtaani namchapia mke wake Sasa nahisi kama ameanza kujua

Kuna jamaa mmoja wa bodaboda hapa mtaani namchapia mke wake Sasa nahisi kama ameanza kujua

Ah sina huo muda wa kupoteza kumuwaza mtu hvy, labla leo ndo nmesoma mada yake vzr nikapata kisirani kipya Ila Siwez kumuweka moyon Mtu yeyote Humu hata aniudhi kiasi gn
Unamuweka kwa id yake😆
Waume za watu wameungana kwa mara ya kwanza wana hasira kali🤭
 
Kwamba leo uko off?
Nmekula mtaji 😂
Nenda hata insta! Unamuina mtu kwanza yukoje ndio unashusha vocal, Sasa humu utafute mtu humjui upoteze naye muda ukikuta sura ya baba unarudi tena kuanza moja mpaka upate si umeshasanda!
Ah mm nataka humu humu JF, nikikukosa ww bc sitak tena, narud kwenye nyeto mana sasa hv nimeacha nakutunzia ww 😎
 
Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa yeye kuva hajui na pesa Hana Sasa mke wake hua namchapia gesti Sasa Leo Kuna jicho kaniangalia nimepishana nae yeye alikua kwenye bodaboda Mimi natembea nikahisi kama kaanza kistukia mchezo mke wake nimemchapa mara 5 tu sio nyingi wakuu hivi anaeza kua kanistukia au Mimi tu najistukia
Hahahahahaaaaa safi sana. Hawa vijana wa bodaboda wanajionaga mabingwa wa kugonga wake za watu kibao kimewageukia. Angalau sasa kina Makebo secretarybird na Stroke watafurahi wamepata mtu wakuwalipizia kisasi.

adriz de mbusii
 
Unapataje ujasiri wa kumla mke wa mtu! Kuna demu tulikuwa tunafanya Kazi ofisi zinazokaribiana, nikamwelewa na nikauliza kama ameolewa akasema hapana. Tukapanga kuonana wikendi coz tunakuwa na muda.

Wikendi ilipofika nikampigia simu tukutane lodge ya jaribu, akasema yuko busy anafanya usafi labda saa Kumi atakuwa free, nikamwambia unazingua wewe si tulikubaliana saa sita!
Akasema kama vipi niende nyumbani nimle fasta halafu aendelee na kazi zake. Nikaenda kwa mbinde Sana. Kufika pale nimekaa kwenye corner Kwa woga woga wakati anapungua mlango wa chumbani nikaona pensi ya kiume na koti. Nikamuuliza kumbe una mume? Akasema umejuaje? Nikasema si nguo Za kiume nimeziona! Akasema Ni kweli naishi na mume lakini anassafiri sana hana shida.

Nikamwambia yaani kama ungeniambia ukweli hata nisingehangaika na Wewe (nasema huku naondoka). Akasema mwanaume mwoga wewe! Haya basi twende Lodge kama anaogopa. Nikasema yaani hapa hata lodge hatuendi sitaki, nikasepa.

Hawa baadhi ya wake za watu huwa wanajiamini sana kutokana na migogoro na Wayne zao. Usipokuwa makini utatembea na akili zake lakini majuto ni makubwa zaidi na huwezi kulipa gharama.
Mke wa mtu aheshimiwe, mbona malaya wali wengi Sana.
Tupo kwenye kikao cha baraza la maaskofu kwaajili ya upadirisho na kutunuku utakatifu .
Wewe ndugu nimewasilisha jina lako ungependa tukuite mtakatifu nani aisee ?
 
Back
Top Bottom