Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,337
- 5,668
Daaah na mm nakula mke wa mtu shda jamaa yake hayupo home anamaliza hata miez 3 yupo kwny ujenz wa mabarabara, alipata mimba ila haikuwa yangu n ya mumewe japo inasemekana mume akaenda shtaki kwao kwmb mimba si yake ila akawa hamwambii mkewe ila mimba ilitoka, jamaa kila sku bifu na mkewe magomvi ila si kwmb mi ndo nasababsha hpn hayo nimeyakuta tu wanayo sku zote, nataka niache sasa.