Kuna jamaa mmoja wa bodaboda hapa mtaani namchapia mke wake Sasa nahisi kama ameanza kujua

Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa mke wake hua namchapia gesti Sasa Leo Kuna jicho kaniangalia nimepishana nae yeye alikua kwenye bodaboda Mimi natembea nikahisi kama kaanza kistukia mchezo mke wake nimemchapa mara 5 tu sio nyingi wakuu hivi anaeza kua kanistukia au Mimi tu najistukia
Unataka tukushauri nn mkuu? Tu support dhambi yako? Kama kwako umeona umefanya vyema sawa, ila jua mtenda hutendewa pia na maumivu yako hutoyabeba.
 
Soon na yeye atakukamata wakutatue marinda na video zako zitasambaa online
 
Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa mke wake hua namchapia gesti Sasa Leo Kuna jicho kaniangalia nimepishana nae yeye alikua kwenye bodaboda Mimi natembea nikahisi kama kaanza kistukia mchezo mke wake nimemchapa mara 5 tu sio nyingi wakuu hivi anaeza kua kanistukia au Mimi tu najistukia
Usikute demu mwenyewe anasoma unavotamba uku😄
 
Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa mke wake hua namchapia gesti Sasa Leo Kuna jicho kaniangalia nimepishana nae yeye alikua kwenye bodaboda Mimi natembea nikahisi kama kaanza kistukia mchezo mke wake nimemchapa mara 5 tu sio nyingi wakuu hivi anaeza kua kanistukia au Mimi tu najistukia
ANza kutembea na kopo la mafuta babycare namana jamaa atakufumua Malinda mpaka upate ukilema
 
Watu washakuwa wajanja, ukiua mtu kisa ugoni unanyongwa, ukishitaki ugoni unaishia kupewa laki tano na kesi inachukua miezi sita. 😊
Dahh!!
Naona siku hizi, ukikamata mtu anapakwa mafuta, au kama hujamdaka unamtafutia wahuni wanamdaka wanampiga mtungo na mke unamuachia. 😁
Khaa sasa hayo yote yanini, si bora umuachie tu huyo mke!🤦🏽‍♀️
 
Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa yeye kuva hajui na pesa Hana Sasa mke wake hua namchapia gesti Sasa Leo Kuna jicho kaniangalia nimepishana nae yeye alikua kwenye bodaboda Mimi natembea nikahisi kama kaanza kistukia mchezo mke wake nimemchapa mara 5 tu sio nyingi wakuu hivi anaeza kua kanistukia au Mimi tu najistukia
kumbe kuuliwa mnajitakiaga wenyewe,acha iyo tabia tutakupoteza soon
 
Dahh!!

Khaa sasa hayo yote yanini, si bora umuachie tu huyo mke!🤦🏽‍♀️
Mke ni juu ya mkamataji kumuacha au lah. Lakini huyo kivuruge lazima aogope wake za watu in future, ili kulinda jamii pana na kulinda maadili.
Anang'olewa koki, lengo ni awe na woga flani na mbususu za watu. 😁
 
Na huwa hawasikii sijui kwanini mtu asioe wa kwake, hivi unajiamini vipi kupitia wake za watu mpaka unaanzisha nyuzi!😤
 
Mkaa kimya ana mipango yake..
Bora uondoke hilo eneo kama unajipenda.
 
Back
Top Bottom