Na huwa hawasikii sijui kwanini mtu asioe wa kwake, hivi unajiamini vipi kupitia wake za watu mpaka unaanzisha nyuzi!😤
Kupita na wake za watu ni kuzuri ukiwa hujakamatwa au usikamatwe au kusanukiwa na usikutane na mhuni. Ukikutana na mhuni akanusa mchezo, hakuna rangi utaacha kuona. 😁
Kuna watu ni wahuni na mafia kwa asili, haiishi mpaka iishe. Atakuwinda tu kimafia kwa muda mrefu lakini kuna siku utakudaka kizembe tuu. 😊
Hujawahi sikia mtu kakabwa, kataitiwa afu wakabaji hawachukui chochote, kila kitu chake wamemwachia. 😄
Anavunjiwa yai tuu na wahuni.