Unapataje ujasiri wa kumla mke wa mtu! Kuna demu tulikuwa tunafanya Kazi ofisi zinazokaribiana, nikamwelewa na nikauliza kama ameolewa akasema hapana. Tukapanga kuonana wikendi coz tunakuwa na muda.
Wikendi ilipofika nikampigia simu tukutane lodge ya jaribu, akasema yuko busy anafanya usafi labda saa Kumi atakuwa free, nikamwambia unazingua wewe si tulikubaliana saa sita!
Akasema kama vipi niende nyumbani nimle fasta halafu aendelee na kazi zake. Nikaenda kwa mbinde Sana. Kufika pale nimekaa kwenye corner Kwa woga woga wakati anapungua mlango wa chumbani nikaona pensi ya kiume na koti. Nikamuuliza kumbe una mume? Akasema umejuaje? Nikasema si nguo Za kiume nimeziona! Akasema Ni kweli naishi na mume lakini anassafiri sana hana shida.
Nikamwambia yaani kama ungeniambia ukweli hata nisingehangaika na Wewe (nasema huku naondoka). Akasema mwanaume mwoga wewe! Haya basi twende Lodge kama anaogopa. Nikasema yaani hapa hata lodge hatuendi sitaki, nikasepa.
Hawa baadhi ya wake za watu huwa wanajiamini sana kutokana na migogoro na Wayne zao. Usipokuwa makini utatembea na akili zake lakini majuto ni makubwa zaidi na huwezi kulipa gharama.
Mke wa mtu aheshimiwe, mbona malaya wali wengi Sana.