Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
SawaSawa Maiti inayotembea.
Sawa mkuuKila nafsi itaonja mauti
Sawa mkuu ila mke wake mwenyewe ndio ananishobokeaga nilishamkataaga mara kibao ila akiniona,ni shoboNinarudia tena kwa mara ya mwisho,
Mwanaume timamu hawezi kushingilia kutembea na mke wa mtu,
Yani ni bora mwanaume kushangilia kutembea na shemeji yako( Ndugu na mke au demu wako) lakini sio mke wa mtu.
Wanaume tunakoseaga njia mara mojamoja tunafanya lakini ni majuto na sijambo la sifa.
🙏
Sawa mkuuZa mwizi siku hizi ni 30 sio 40
Ushauri wenu wazeeMmh kidume cha mbegu huyo sukari ya wake za watu sawa sawa hongera 👏🏾👏🏾👏🏾
Ukijikuta upo MOI huna kumbukumbu sababu ulipatwa na majeraha kichwani ukatangazwa ndugu zako wakalipie mkeka ili wakuachie hapo ndio utaelewa kwanini walisema Cha mtu MaviMimi natembea nikahisi kama kaanza kistukia mchezo mke wake nimemchapa mara 5 tu sio nyingi wakuu hivi anaeza kua kanistukia au Mimi tu najistukia
Uzi umejaa vitisho vya waume za watu🥴